Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,905
Sijui ni kampeni ya wanaume ya kuwapiga warembo mimba na kuwaacha kwao au nini, sijaelewa.
Siku hizi mabinti wengi warembo wamezalishwa na wako kwao, nashindwa kuelewa, hawa warembo hawana sifa ya kuolewa na kuwekwa ndani, hii trend ya kuwapachika mimba na kuwatelekeza nyumbani mbona inakua kwa kasi sana?
Unakutana na mtoto mzuri, mrefu mwenye umbile zuri, mnachat siku mbili tatu unawza kama unaweza kuweka kambi, unaamua kumfanyia due deligence kabla hujampa go ahead, unagundua amezaa ana mtoto, unakua descouraged, unatemana nae, kesho tena ukikutana ma mwingine same story over and over and over.
Wakuu, kuna kampeni ya kimia kimia ya kuwapachika hawa walimbwende mimba na kuwatema? Mbona hatushirikishani? Mwenyekiti wa chama cha wanaume mbona hatoi taarifa kwa wajumbe wote ambao tunatoa michango ya uanachama hata kama hatuhuzurii kwenye vikao.