Wewe Endelea Kutafuta Pesa tuu

Wewe Endelea Kutafuta Pesa tuu

Aldonae

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
598
Reaction score
396
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Habari wadau.

Nimekaa na wana hapa maeneo ya "Ujinga Hauishi".Mara akapita mtoto mkaliiiiiiiii wuuuuuuh!!!!!!Kama ilivyo ada,wadau tukathaminisha vima kwanza,a.k.a rachu.Baada ya hapo,kuna jinga likaropoka "Daaah wenye pesa wanafaidi bhana,ngoja na mimi nizipate"

Ni hivi,nyinyi endeleeni kutafuta pesa,ila sisi watoto wazur tangu enz za sare ni bukta za bluu,tunawala.Kidato,tukawalaaa,chuo aaaaaaam,mtaani aaaaam!!!!!!!!!!!!!!

Huku katika mishemishe napo,wembe ule uleeee!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumpata dem sio tu unatakiwa uwe na hela bali unatakiwa uwe vizuri kwenye sound labda uwe unatongoza wanawake unaowajua na wanaokujua ila yale mambo ya umepanda daladala umekuta mtoto mzuri kashuka kituo hiki na wewe unashuka una mtemea mistari kadha walau upate tarakimu hata kama hela unazo kama haupo vizuri kwenye sound lazima ukataliwe hata kama hela unazo
 
Back
Top Bottom