Mtoto wa x wako

Mtoto wa x wako

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,357
Reaction score
62,607
Unajisikiaje pale unapoenda kumtembelea mtoto wako uliyezaa na x na kutokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika ukajikuta hauwezi kuishi na mzazi wake pamoja na mtoto. Unamkuta yuko mchafu,kupata mahitaji yake muhimu ni shida au wakati mwingine anashindia mlo mmoja, na kwa bahati mbaya mtoto amefanana na wewe.Je utachukua hatua gani?
 
Kama huwezi mchukua uishi naye, mtengenezee mama yake (x wako ) mazingira mazuri ili aweze kumtunza mtoto!!

Fungua biashara kwa jina la mtoto mama yake awe msimamizi tuu!
Wazo zuri,na inapotokea mama wa mtoto ana mji mwingine na akawa amepunguza mapenzi kwa mtoto huyo...katika hali hiyo utatatuaje hiyo changamoto?
 
Je kama kama mama wa mtt amenigomea kunipa mtt nafanyaje na mazingira niliyomkuta mtt hayaridhishi?...
 
Je kama kama mama wa mtt amenigomea kunipa mtt nafanyaje na mazingira niliyomkuta mtt hayaridhishi?...
ha ha ha ha hapo sasa lazima ukubali kuwekeza kwa mama yake ili maisha yawe mazuri,kama alivyopendekeza mjumbe hapo # 17
 
Back
Top Bottom