Hili ni funzo kubwa katika Mapenzi, tujaribu kuchukua hatua ya busara na ya kiutuzima!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Zilipita sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na hatimaye miaka sasa tangu niachane na mwanamke niiyependana naye sana. Baada yake nimekuwa na mahusiano mengine kadhaa ambayo hayakuwa na msingi wa upendo, yalikuwa ilimradi mahusiano tu.

Chanzo kubwa cha mahusiano yangu kuvunjika na kipenzi changu ni tatizo letu wanaume wengi kwa sasa, nilipendana naye kipindi nipo chuo, sikuwa na stable economy kabisa.. akapata vishawishi na hapo tumeshakaa pamoja miaka kama mi tatu (Though silaumu kwa kuwa ameenda kwa mwingine kwa sababu hata sisi wanaume tungejaribu kuvaa viatu vyao tukawa wanawake tusingeweza vumilia wanaume wasio na pesa).

Nimekaa na kutafakari ila nimeona bado moyo wangu uko kwake, hata kama kawa na wanaume wangapi still i love her, ninachofanya ni ishu moja, nipo najipanga kiuchumi niwe na flow kubwa ya Pesa, kisha nimchukue au nimyanganye kwa mshikaji aloko naye sasa.

Wanaume wenzangu tukiwa hatuna Pesa sio kwamba hatupendwi.. tunapendwa sana tu ila tatizo ni mwanamke anakosa security ya future yake kwako, anaweza kuwa na wewe kwa sababu ya upendo ila uvumilivu wao unawafikaga mwisho, Tafadhali tusiwalaumu hawa viumbe wanapotuacha kisa hatuna pesa.. wamevumilia mpaka wakafika mwisho.

Nadhani kila mtu ni shahidi wa kupendwa hata wakati ule hana kitu, je hata kama huyo mwanamke alikuacha siku ukipata kitu huoni kwamba ni chaguo sahihi?

Mapenzi ya dhati ili yadumu pesa kidogo inabidi iwepo!

Pesa ni muhimu ila Upendo wa dhati muhimu zaidi

Binafsi nitamrudisha wa kwangu,,soon nitaleta mrejesho tuombeane tu SHIMO LITEME!
 
Mkuu Khan, Uwezekano wa Shimo kutema bila kujalisha mapambano yako huwa ni 50-50

Itakuaje kama, Shimo lisiteme.. Au likatema baadae uko wakat ambao Demu keshazaa kama sio kuolewa???

Nadhan, Hata kama Pesa ipo, Demu kama hakupendi hakupendi tu..na

MUOGOPE KAMA UKOMA DEMU ANAYEKUPENDEA PESA

NDIO ATAJIFANYA MTUMWA KWAKO... NA KWAKUA KIMWILI/KIHISIA HUMVUTII.... ( uwezekano wa wewe kufa ni mkubwa)

ILI ABAKI NA PESA NAMALI ZAKO KISHA AZITUMIE PAMOJA NA MWANAUME AMPENDAYE !!!.

UPENDO KWANZA..MENGINE BAADAE ...
 
ninachofanya ni ishu moja, nipo najipanga kiuchumi niwe na flow kubwa ya Pesa, kisha nimchukue au nimyanganye kwa mshikaji aloko naye sasa.

Pesa ni muhimu ila Upendo wa dhati muhimu zaidi

Binafsi nitamrudisha wa kwangu,,soon nitaleta mrejesho tuombeane tu SHIMO LITEME!

Khan
=Nimekaa na kutafakari ila nimeona bado moyo wangu uko kwake, hata kama kawa na wanaume wangapi still i love her, ( UTUMWA WA MAPENZI)
=
ninachofanya ni ishu moja, nipo najipanga kiuchumi niwe na flow kubwa ya Pesa, kisha nimchukue au nimyanganye kwa mshikaji aloko naye sasa.( UKIKOSA HIYO FLOW KUBWA YA PESA , NINI UTAFANYA NA HAYA MAWAZO YAKO???
=
ninachofanya ni ishu moja, nipo najipanga kiuchumi niwe na flow kubwa ya Pesa, kisha nimchukue au nimyanganye kwa mshikaji aloko naye sasa.( WAULIZE MATAJIRI WANAVYOTESWA NA MAPENZI MZEE, WANGAPI WANAJIUA AU KUUWA WAKE ZAO KWA SABABU YA MAPENZI..
=Wanaume wenzangu tukiwa hatuna Pesa sio kwamba hatupendwi.. tunapendwa sana tu ila tatizo ni mwanamke anakosa security ya future yake kwako, anaweza kuwa na wewe kwa sababu ya upendo ila uvumilivu wao unawafikaga mwisho, Tafadhali tusiwalaumu hawa viumbe wanapotuacha kisa hatuna pesa.. wamevumilia mpaka wakafika mwisho( USIPENDE KWA SABABU YA PESA , WATU KIBAO NA PESA ZAO FAMILIA ZIMEWASHINDA NA KUBAKI KUWA WACHEPUKAJI TU MZEE.
 
We jamaa unajidanganya. Huyo mwanamke atakua amekupendea pesa tu. Nakushauri kaa nae mbali, maumivu yatakayo kupate tena hutokaa ukayasahau. Sasa hivi unatakiwa utamani tu.
 
Jiandae kuburuzwaaa.... maana msingi wa mapenzi yake kwako ni pesa. Hakuna mapenzi hapo; hakupendi umekuwa kipofu mapenzini. Kataa mapenzi ya utumwa!
 
Huyo hajakupenda bali anapenda Pesa yako, kuwa makini sana usipojipanga utakuja kupangwa.
 
Mkuu Khan, Uwezekano wa Shimo kutema bila kujalisha mapambano yako huwa ni 50-50

Itakuaje kama, Shimo lisiteme.. Au likatema baadae uko wakat ambao Demu keshazaa kama sio kuolewa???

Nadhan, Hata kama Pesa ipo, Demu kama hakupendi hakupendi tu..na

MUOGOPE KAMA UKOMA DEMU ANAYEKUPENDEA PESA

NDIO ATAJIFANYA MTUMWA KWAKO... NA KWAKUA KIMWILI/KIHISIA HUMVUTII.... ( uwezekano wa wewe kufa ni mkubwa)

ILI ABAKI NA PESA NAMALI ZAKO KISHA AZITUMIE PAMOJA NA MWANAUME AMPENDAYE !!!.

UPENDO KWANZA..MENGINE BAADAE ...
Mkuu kwa sasa kama huna pesa criterion ya kupenwa ni ndogo sana, bahati mbaya sana kama hauna pesa huwezi kuwa na yule mwanamke unayemtaka, wachache sana hio bahati huwatokea!
 
Haya ni maneno ya mwanaume asiye na pesa, kimsingi mdogo wangu tafuta pesa.
Mkuu Khan, Uwezekano wa Shimo kutema bila kujalisha mapambano yako huwa ni 50-50
Itakuaje kama, Shimo lisiteme.. Au likatema baadae uko wakat ambao Demu keshazaa kama sio kuolewa???
Nadhan, Hata kama Pesa ipo, Demu kama hakupendi hakupendi tu..na
MUOGOPE KAMA UKOMA DEMU ANAYEKUPENDEA PESA
NDIO ATAJIFANYA MTUMWA KWAKO... NA KWAKUA KIMWILI/KIHISIA HUMVUTII.... ( uwezekano wa wewe kufa ni mkubwa)
ILI ABAKI NA PESA NAMALI ZAKO KISHA AZITUMIE PAMOJA NA MWANAUME AMPENDAYE !!!.
UPENDO KWANZA..MENGINE BAADAE ...
 
UTUMWA WA MAPENZI)
Mapenzi ni utumwa hakuna doubt juu ya hilo, na wote tu watumwa wa mapenzi!

UKIKOSA HIYO FLOW KUBWA YA PESA , NINI UTAFANYA NA HAYA MAWAZO YAKO???
Siwezi kukosa!

WAULIZE MATAJIRI WANAVYOTESWA NA MAPENZI MZEE, WANGAPI WANAJIUA AU KUUWA WAKE ZAO KWA SABABU YA MAPENZI..
Wanateswa ila atleast sio kama masikini, masikini ukiteswa na mapenzi utafanyeje? Tajiri anaweza fanya mengine kwa pesa zake au akapata mwingine bora zaidi

USIPENDE KWA SABABU YA PESA , WATU KIBAO NA PESA ZAO FAMILIA ZIMEWASHINDA NA KUBAKI KUWA WACHEPUKAJI TU MZEE.
Mkuu kila mtu ana ndoto za aina ya mtu amtakaye, kwa sisi wanaume pesa huturahisishia
 
Hakumpendea pesa walipendana kwa dhati ila si unajua tena alishindwa kummanitain mwanamke akaondoka, at least wanaume muwe na elfu mbili tatu za kutupa tunaridhika, huwa hatutaki pesa nyingi vitu vidogo vidogo na sh 2 tatu tu jamani kuweka mahusiano yawe hai.

We ni mzembe mmoja wa mwisho ndio pesa ni muhimu ila demu aliekupendea pesa muogope Kama ukoma
 
Hapana simuogopi maana nitakuwa najua kanipendea nini, wewe ambaye huna kitu na hujui demu kakupendea nini ndo unatakiwa uogope sana!
 
Zilipita sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na hatimaye miaka sasa tangu niachane na mwanamke niiyependana naye sana. Baada yake nimekuwa na mahusiano mengine kadhaa ambayo hayakuwa na msingi wa upendo, yalikuwa ilimradi mahusiano tu.

Chanzo kubwa cha mahusiano yangu kuvunjika na kipenzi changu ni tatizo letu wanaume wengi kwa sasa, nilipendana naye kipindi nipo chuo, sikuwa na stable economy kabisa.. akapata vishawishi na hapo tumeshakaa pamoja miaka kama mi tatu (Though silaumu kwa kuwa ameenda kwa mwingine kwa sababu hata sisi wanaume tungejaribu kuvaa viatu vyao tukawa wanawake tusingeweza vumilia wanaume wasio na pesa).

Nimekaa na kutafakari ila nimeona bado moyo wangu uko kwake, hata kama kawa na wanaume wangapi still i love her, ninachofanya ni ishu moja, nipo najipanga kiuchumi niwe na flow kubwa ya Pesa, kisha nimchukue au nimyanganye kwa mshikaji aloko naye sasa.

Wanaume wenzangu tukiwa hatuna Pesa sio kwamba hatupendwi.. tunapendwa sana tu ila tatizo ni mwanamke anakosa security ya future yake kwako, anaweza kuwa na wewe kwa sababu ya upendo ila uvumilivu wao unawafikaga mwisho, Tafadhali tusiwalaumu hawa viumbe wanapotuacha kisa hatuna pesa.. wamevumilia mpaka wakafika mwisho.

Nadhani kila mtu ni shahidi wa kupendwa hata wakati ule hana kitu, je hata kama huyo mwanamke alikuacha siku ukipata kitu huoni kwamba ni chaguo sahihi?

Mapenzi ya dhati ili yadumu pesa kidogo inabidi iwepo!

Pesa ni muhimu ila Upendo wa dhati muhimu zaidi

Binafsi nitamrudisha wa kwangu,,soon nitaleta mrejesho tuombeane tu SHIMO LITEME!

Khan
Ikitokea ukapata demu now na ukawa nae kipindi unahustle hard adi unakuja kutoboa bado utamrudia huyo huyo?
 
We jamaa unajidanganya. Huyo mwanamke atakua amekupendea pesa tu. Nakushauri kaa nae mbali, maumivu yatakayo kupate tena hutokaa ukayasahau. Sasa hivi unatakiwa utamani tu.
sikuwa na pesa kipindi hiko
 
Back
Top Bottom