From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

mariantonia

Senior Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
135
Reaction score
52
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE
 
Du, hii kali...:lol:

Arusha hakunaga hizo mammy!
Achana na watu wa kuja wa Dar!
Njoo upate Mavitu orijino ...kwa wazee wa matrupa!
Achana na chips-kuku wa kisasa wa kule Kitunda na Kipunguni, hela mtu anaenda kutolea maliwatoni...huh!
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

What a Furahidei🙂))

Wanaume wa Dar mpooo?

Shosty, njoo Kilimanjaro..Fullstop!
 
Du, hii kali...:lol:

Arusha hakunaga hizo mammy!
Achana na watu wa kuja wa Dar!
Njoo upate Mavitu orijino ...kwa wazee wa matrupa!
:lol::lol:...Nilijua kwenye hii thread sitokukosa kabisa...lol
 
Topic zinazohusiana na urijali nazo zinashika kasi sana! kuna ile ya yule bibi na wajukuu zake..etc..naona sasa ni zamu ya wanaume wa DSM!
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Kwani hao wanaume wa Dar walikwambia wanakutaka? au vigezo unavyo? isije kuwa hasira za sizitaki mbichi hizi kwakuwa huna mvuto.
 
Back
Top Bottom