X-wangu ananitumia picha zake

X-wangu ananitumia picha zake

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..

Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
 
OK nimewahi siti lkn embu weka picha zake hapa tumuone
 
Mmmmmmmm ebu weka tuzione kwanza isije kuwa unamsingizia dada wa watu
 
Kama upo na familia wapuuzi kama hao usiwachekee ...
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..

Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
 
Anajirengeshaje Sasa wakati alishakuwa wako? Sema anajirudisha sio anajirengesha
 
Huyo atakuwa hajielewi mkuu, ebu naomba unitumie namba zake ili nimueleweshe please...
 
Weka picha kwanza tumzoom then tukushauri vizuri.
 
mjuu
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..

Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
mjukuu wangu hivi mtu akisema.wanaume wapite mbele na weww utapita?
 
Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..

Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
Nikiiona tu picha yake/zake nitajua analengo gani!
 
Achana nae mpuuzi huyo hana issue hebu kwanza ni inbox namba yake na yeye nimchane makavu
 
Hayo ndio matatizo ya wanawake chibonge wakisha pungua tu, huanza kutamanisha X zako. Au alikuwa flat screen sasahivi chura kanona😋

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Pole sana...

Kama wewe humuelewi na huelewi, wengine wataelewaje sasa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom