Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Najaribu kutafuta tafsiri ya hawa wanawake, yaani unampigia sim mda ambao anatakiwa muonane mupashe kiporo moto gafla sim haipokelewi unasubiri labla unajipa moyo atakuwa yupo mbali na sim ile...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Habar zenu wana jukwaa la wapenda nao. Leo napenda kusikia kutoka kwenu kuhusu Matukio au tukio La kujinga ambalo umewai kufanya au kufanyiwa na mpenzi wako. Mm Nakumbuka nimewai kuombwa denda /...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imenichukua kufatilia kaya kama sita kuja na uthibitisho wa hoja hii. Mjomba wangu ni mkristu mkatoliki yuko kwenye ndoa mseto kwa takribani miaka 27 na ndoa yao imekuwa ya mfano kwa kila mtu...
3 Reactions
75 Replies
5K Views
Wadau Salam, nianze kwa kumshukuru mungu kwa kunijalia uzima, Wadau Sasa naomba nijikite kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Je nikweli mahali ambayo hutolewa pindi...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Ninao saba mwenzenu na mke mmoja,yaani najuta kujichomeka kwenye hii michezo,kinachoniuma sana mmojawapo kanizimia sana wakati mimi sina habari naye nilimpenda tu kabla hajachojoa nguo,nipeni...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari, hopefully mko wazima, likewise hapa, Mungu ni mwema sana. Good friends out there karibuni sana. Naitwa Nick, aged 33. Employed. Naishi Dar es Salaam. Thats all for now. Merci!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nina muda mrefu sana kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu sana dushe kuingia. Mpaka nifanye maandalizi kwa muda mrefu sana...
7 Reactions
205 Replies
32K Views
Mwanamke ni yupi? Ni yule ambaye yuko shuleni anasoma, Yule anayejitegemea, Yule anayeishi kwa ndugu au wazazi, Yule aliyeolewa; au ni yupi wakuu?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati nimepumzika hapa nimejikuta nikiwaza mambo mawili matatu. Moja kati ya hayo mambo ni hili la mahusiano. Kilichonipelekea kuanzisha huu, ni mkasa ambao nilikutana nao mimi mwenyewe. Wala...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa. Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa...
25 Reactions
232 Replies
25K Views
Kijana ishi kama kijana,umri unakimbia kama magurudumu ya gari, kumbuka huwezi kurudi kuwa kijana.Ni aibu kijana kuishi maisha au mitazamo ya kizee,je ukiwa mzee utafanyaje?Ndio wale wakifika...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana Janvi. Baada ya kua wife majukumu yamembana sana nilibahatika kupata msichana wa kazi miaka 17 kutoka Tanga tangu niwe nae ni mwezi na nusu tuuuu. Kwa bahati mbaya aliumwa...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Hellow guyz, Natumai nyote ni wazima wa afya, wale wenye matatizo mbalimbali...... M/Mungu akawafanyie wepesi, AMEN. Kama I'd yangu inavyojieleza, kwa jina naitwa Dr Sai, ni mtaalamu wa masuala...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
"Oa! Ili usije ukawa unawatazama tazama hawa wanafunzi wetu wa kike" akaendelea na kusema "Haya chukua fedha hizi milioni 3 mkabidhi Mwalimu wako, halafu mwambie asije akazitumia kutolea mahari"...
1 Reactions
2 Replies
955 Views
Nimpendaye hana habari na mimi Anayenipenda hata ajitahidi vipi tena jitihada zake za kunifurahisha ndio naziona kero sasa Mungu angerahisisha tu awakutanishe kwa urahisi wapendanao kwa dhati na...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakika inaniumiza kichwa sana maana yaliyopita mengi yamepita. Kusema kweli, natamani nikutane kwa mara nyingine wanawake wote niliowahi kutembea nao kipindi hicho ili niwaonyeshe uwezo na wapate...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimepata changamoto ya kimaamuzi hapa katika familia yangu hii ambayo nimedumu tangu nioe ni yapata mwaka mmoja sasa Hivi majuzi mke wangu aliniletea ombi akihitaji nimpe kibali cha...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Habari za majukumu wanaJf, Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye soft copy au anajua the way barua ya kuchumbia kwa Bint ambaye natarajia aje kuwa mke wangu inaandikwa vipi ,naomba anisaidie maana...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu salama? Kuna kitu kidogo sana huwa kinaniudhi (hasa zamani). Kwa utamaduni wa kitanzania unapokutana na mtu bila kujali kama unafahamiana naye, salamu huwa ni kitu cha msingi na kiungwana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…