Mwanamke na wakike ni yupi?

Mwanamke na wakike ni yupi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,490
Reaction score
62,879
Mwanamke ni yupi?
  • Ni yule ambaye yuko shuleni anasoma,
  • Yule anayejitegemea,
  • Yule anayeishi kwa ndugu au wazazi,
  • Yule aliyeolewa; au ni yupi wakuu?
 
Yeyote mwenye jinsia ya ke ni mwanamke.

Lakini katika kuwa mwanamke, kuna majina kutokana na umri pamoja na mambo mengine.

a)Msichana ni mtoto wa kike ambaye havunja ungo au kubalehe.
b)Binti ni mtoto wa kike aliyevunja ungo na kupevuka. Vinaanza kujifunza kupigwa miti hapa.
c)Mama ni mzazi wa kike aliyezaa na kupata watoto.
d)Bibi ni mama ambaye umri umeshatembea.
e)Mgumba ni mwanamke ambaye hajafanikiwa kupata mtoto.
 
Nimekupata mkuu;wakike na mwanamke kuna tofauti gani?
 
aliyekomaa kiakili na yupo tyr kuongoza wengine (familia) huyo ni mwanamke
 
Back
Top Bottom