Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Wakuu heshima kwenu, bila shaka weekend inaenda vyema kabisa.
Husika na kichwa cha uzi. Mchumba wangu nipo naye kwenye mahusiano kwa muda sasa na maandalizi ya ndoa yanaenda vyema kabisa. Nashukuru kwa hatua hiyo.
Mahusiano yetu yamekuwa ni ya kushibana, yamejaa upendo, furaha na amani lakini kama ilivyo kawaida mapungufu huwa hayakosekani kuhusu jambo husika.
Suala la mapenzi/tendo la ndoa, mwenzangu hana hisia nalo kabisa na halitilii umuhimu. Hili jambo linaniumiza kichwa sana na kupelekea kukosa usingizi usiku ukizingatia nina mpenda sana. Nimejaribu kumshawishi sana japo aoneshe hisia lakini imeshindikana, sijui tatizo ni nini..na sijaweza kulibaini hadi sasa.
Wakuu nifanyeje ili niweze kurudisha furaha ya mahusiano haya.Upendo bila mzizi wake wa tendo huo unakuwa sio upendo tena. nisaidieni nirejeshe upendo. Kama kuna aina yoyote ya dawa inayoweza kuboost hili tatizo nisaidieni niweze kumrejeshe mchumba hisia na hamu ya tendo.
Karibuni wana JF tuokoe MV Magogoni inazama huku, maana huu mwendo si rafiki kabisa inaweza kuzama muda wowote. Tumsaidie rafiki yangu aisee.