Kuwa na mahawara wengi ni utumwa

ndandambuli

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
948
639
Ninao saba mwenzenu na mke mmoja,yaani najuta kujichomeka kwenye hii michezo,kinachoniuma sana mmojawapo kanizimia sana wakati mimi sina habari naye nilimpenda tu kabla hajachojoa nguo,nipeni mbinu nichomoke vipi ili awe salama nisimwache na majeraha,hawa wengine sita sina ni rahisi sana nikiacha kuwarushia vocha tu najua wataanza wao kunibwaga, lakini huyu mwingine ni mtihani kwelikweli kipaumbele chake yeye ni mapenzi tu na sio pesa(Kajiajiri)
 
Mwenye dhambi hana raha.. Hukimbia hata asipokimbizwa
 
Ninao saba mwenzenu na mke mmoja,yaani najuta kujichomeka kwenye hii michezo,kinachoniuma sana mmojawapo kanizimia sana wakati mimi sina habari naye nilimpenda tu kabla hajachojoa nguo,nipeni mbinu nichomoke vipi ili awe salama nisimwache na majeraha,hawa wengine sita sina ni rahisi sana nikiacha kuwarushia vocha tu najua wataanza wao kunibwaga, lakini huyu mwingine ni mtihani kwelikweli kipaumbele chake yeye ni mapenzi tu na sio pesa(Kajiajiri)
Mkuu wanawake tumeumbiwa wanaume.. kuwa na wanawake weng huongeza uwezo wa kufikiri na kung'amua mambo kwa wepes ukiwa na mwanamke mmoja hata uwezo wa kupiga paipu hupungua ila ukiwa nao wawili watatu utaona Kila siku kiwango kinapanda Mana ukizunguka ukirudi kwa mkeo hamu kibao Ni mwendo wa viuno tu na mikato ya Tyson katik
 
Yakitokea yakukudhuru unadhani atakujua?... Usi-bargain na tabia ikupelekayo kifoni japo yavutia.
 
Ninao saba mwenzenu na mke mmoja,yaani najuta kujichomeka kwenye hii michezo,kinachoniuma sana mmojawapo kanizimia sana wakati mimi sina habari naye nilimpenda tu kabla hajachojoa nguo,nipeni mbinu nichomoke vipi ili awe salama nisimwache na majeraha,hawa wengine sita sina ni rahisi sana nikiacha kuwarushia vocha tu najua wataanza wao kunibwaga, lakini huyu mwingine ni mtihani kwelikweli kipaumbele chake yeye ni mapenzi tu na sio pesa(Kajiajiri)
Mungu ni Mungu tu, hatimaye ile kauli ya wahenga isemayo "nahodha wengi chombo huenda mrama" imethibitika leo na ina umuhimu ktk maisha
 
Mkuu acha udhaifu huo!
Mfalme Daudi alikuwa na wake 700 na michepuko 300 na still bado alibarikiwa na kuongea na MUNGU apendavyo!! Nakupongeza kwa kuwamudu hao saba! Mie nnae mmoja tu na bado naona sometimes ananizingua nakosa pa kupozea machungu.
 
Umenipa mbinu au unachochea niendelee?
 
Back
Top Bottom