Wakuu, nimekuja rasmi sasa!

Dr Sai

Member
Oct 2, 2019
41
52
Hellow guyz,
Natumai nyote ni wazima wa afya, wale wenye matatizo mbalimbali...... M/Mungu akawafanyie wepesi, AMEN.

Kama I'd yangu inavyojieleza, kwa jina naitwa Dr Sai, ni mtaalamu wa masuala ya saikolojia ya kijamii (social psychology). Nimekuja kwenu wakuu kuleta msaada wa kitaalam, juu ya changamoto/matatizo mbalimbali ya kijamii, hasa hasa katika uwanja mpana wa mahusiano ya kimapenzi (uchumba), ndoa na familia.

Hivyo naomba kuchukua nafasi hii, kutoa room ya kumsikiliza mtu yoyote yule, anayeona ana kumbwa na changamoto fulani katika masuala hayo...... Na ni matumaini yangu ya kwamba, nitakutana na watu wenye hekima na ustahivu!.

Mwisho, napenda kuwashukuru Mods na members wote, kwa ushirikiano wenu.

Asante.
images.jpeg
 
Okay Dr Sai ai asante kwa kujitolea kutusikiliza

Naomba niwe mteja wako wa kwanza

1.Nini chanzo mtu kuwavutia watu ambao ni players tu,iwe ni mkaka au mdada anajikuta kila mara anapofall kwa mtu au mtu anayefall naye ni player au penda penda?

2.Unawezaje kumjua mtu mkarimu,mtoaji au mtunza familia?

3.Unamtambuaje mtu mkatili kwenye mahusiano,mwenye urafiki,romantic au mpuuziaji?

ninayo maswali mengi ila naomba niazne na haya

Nimekaa nasubiria kwa hamu majibu yako mtaalamu,

Asante.
 
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana

Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
 
we jamaa una sifa zangu akikujibu nitag
 
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana

Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Nakazia hapa me pia nahitaji hili
 
This is real me..

They use to call me mr.kujiskia,mr kujiona matawi

I never care..naepuka vingi sana ninapokaa mbali nao

Acha mtaalamu aje atuambie faida zaidi
 
Dr.sai nimekutana nae pale mataa ya Tazara anatoa nduki vibaya mno

Sijui haya maswali yatakua konki masta sana

inaonyesha hakutegemea,yupo anakula lecture kwa DR.sai OG

sio mbaya dr.sai hakikisha unamuelewa Dr.sai OG then urudi kutupa mrejesho
 
Swali tamu sana mkuu ngoja nisubili majibu mana nimechoka umbea na unafiki wa waswahili
 
This is real me..

They use to call me mr.kujiskia,mr kujiona matawi

I never care..naepuka vingi sana ninapokaa mbali nao

Acha mtaalamu aje atuambie faida zaidi
Asante mkuu kwa kupata angalau faida moja sema naona Dr katelekeza uzi
 
Maswali yenu yamemkbiza Dr
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana

Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Okay Dr Sai ai asante kwa kujitolea kutusikiliza

Naomba niwe mteja wako wa kwanza

1.Nini chanzo mtu kuwavutia watu ambao ni players tu,iwe ni mkaka au mdada anajikuta kila mara anapofall kwa mtu au mtu anayefall naye ni player au penda penda?

2.Unawezaje kumjua mtu mkarimu,mtoaji au mtunza familia?

3.Unamtambuaje mtu mkatili kwenye mahusiano,mwenye urafiki,romantic au mpuuziaji?

ninayo maswali mengi ila naomba niazne na haya

Nimekaa nasubiria kwa hamu majibu yako mtaalamu,

Asante.
 
Okay Dr Sai ai asante kwa kujitolea kutusikiliza

Naomba niwe mteja wako wa kwanza

1.Nini chanzo mtu kuwavutia watu ambao ni players tu,iwe ni mkaka au mdada anajikuta kila mara anapofall kwa mtu au mtu anayefall naye ni player au penda penda?

2.Unawezaje kumjua mtu mkarimu,mtoaji au mtunza familia?

3.Unamtambuaje mtu mkatili kwenye mahusiano,mwenye urafiki,romantic au mpuuziaji?

ninayo maswali mengi ila naomba niazne na haya

Nimekaa nasubiria kwa hamu majibu yako mtaalamu,

Asante.
Asante Mkuu Blue G.
Naomba nikujibu kwa kifupi sana maswali yako yote matatu, kama ifuatavyo:-

Kwa kifupi yote hayo yanatokea, kwa sababu ya kukosekana kwa uelewa wa haswa, ni vitu gani mtu anatakiwa avizingatie......kabla ajafanya maamuzi ya kuwa na mtu kimahusiano ya kimapenzi.

Hakika vipo vitu vya msingi, ambavyo mtu anatakiwa avifahamu vizuri....ili viweze kumsaidia kutoka katika scenarios za namna hiyo.

Mkuu Blue G, naomba kwa leo niishie hapo. Ila naomba ufatilie nyuzi zangu zinazofuata.....hakika nitawaletea uzi, utakaoeleza kwa kina vitu hivyo ni vipi?.

Asante.
 
Asante mkuu MLEVi Mmoja,

Hakika suala la kuwa ant social, lina negative impacts nyingi kuliko positives. Lakini kwa kuwa umesisitiza, ya kuwa unataka kuzijua positive tu......nami, naenda kukuelezea baadhi ya hizo positive kama ifuatavyo:-

Kwanza, ukiwa mtu wa kujitenga sana na watu....unakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kuheshimiwa au/na kuogopwa na watu hao. Na hii inatokana na watu kushindwa, kukujua/kukuelewa haswa MLEVi Mmoja ni mtu wa aina gani????

Pili, kutokana na kuwa na hali hiyo ya kuogopwa au/na kuheshimiwa na watu wanaokuzunguka. Itapelekea kuwa na SAUTI YENYE NGUVU, yaani utakuwa unapata usikivu au/na muitikio wa watu wengi, pindi utakapohitaji kuongea au kufanya kitu fulani katika jamii hiyo!

Tatu, unapokuwa ant social zaidi. Kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupunguza asilimia 8% za chronic stress (mawazo tatizo), ambayo binadamu anaweza kuyapata kupitia watu wanaomzunguka. Hapa ni kwamba, hakutakuwa na uwezekana wa kusikia au/na kuwa affected na "nani kakusema hivi au vile"/ " sijui nani kafanya nini...." etc

Mkuu MLEVi Mmoja, naomba kwa leo niishie hapo. Ila nitakuja na uzi murua, utakaodadavua hii mada vizuri, naamini kupitia uzi huo.....dhana ya ant social, itafahamika katika mawanda mapana zaidi. Naomba uendelee kuwa nami, katika nyuzi zijazo.....

KARIBU SANA.
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana

Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
 
Maswali yenu yamemkbiza Dr
Asante mkuu kwa kupata angalau faida moja sema naona Dr katelekeza uzi
Dr.sai nimekutana nae pale mataa ya Tazara anatoa nduki vibaya mno

Sijui haya maswali yatakua konki masta sana

inaonyesha hakutegemea,yupo anakula lecture kwa DR.sai OG

sio mbaya dr.sai hakikisha unamuelewa Dr.sai OG then urudi kutupa mrejesho
Ahahha comments zenu wakuu, zimeniacha hoi kidogo!!
 
Back
Top Bottom