Kijana ishi kama kijana

Kijana ishi kama kijana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Kijana ishi kama kijana,umri unakimbia kama magurudumu ya gari, kumbuka huwezi kurudi kuwa kijana.Ni aibu kijana kuishi maisha au mitazamo ya kizee,je ukiwa mzee utafanyaje?Ndio wale wakifika uzeeni wanaanza kuutamani ujana.Kwa sasa ishi kama kijana,kuwa smart,tafuta fursa,tafuta mpenzi,akili iwe smart n.k
 
sawa
 
Unakuta kijana anakushauri usigonge..eti uoe mapema.... Wakati wazee wanasema wakirudia ujana hawataoa.. hehehehe natania tu
 
Back
Top Bottom