Mwaka jana August ulikuwa unaitwa Colins na ulikuwa na miaka 33, leo Sept 2019 unaitwa Nick na umebaki na miaka ileile 33.
Karibu sana.
Nahitaji marafiki
Mambo, Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia muziki na movies. Rafiki no mtu awaye yote yawezekana akawa ndugu m mtu ambaye mnakutanishwa kwa njia...www.jamiiforums.com
Tupo ..karibu.Habari, hopefully mko wazima, likewise hapa, Mungu ni mwema sana. Good friends out there karibuni sana. Naitwa Nick, aged 33. Employed. Naishi Dar es Salaam. Thats all for now. Merci!