Habari wakuu
Nimepata changamoto ya kimaamuzi hapa katika familia yangu hii ambayo nimedumu tangu nioe ni yapata mwaka mmoja sasa
Hivi majuzi mke wangu aliniletea ombi akihitaji nimpe kibali cha kwenda kucheza katika harusi ya kaka wa rafiki yake inayokwenda kufanyika mwanzoni mwa mwezi November
Jibu nililompa ni kwamba asubiri nitampa majibu lakini imekua kero muda wote anakumbushia nimpe ruhusa kwani muda huu wameanza kushiriki mazoezi ya steps na nyimbo mbalimbali
Wakuu hivi ni sawa mke wa mwanaume kwenda kucheza kwaito na mastep mengine mbele za watu?
Naombeni majibu ili Leo apewe majibu maana muda huu ndio narudi nyumbani