Natamani kurudia ya zamani

Natamani kurudia ya zamani

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,489
Reaction score
8,159
Hakika inaniumiza kichwa sana maana yaliyopita mengi yamepita.

Kusema kweli, natamani nikutane kwa mara nyingine wanawake wote niliowahi kutembea nao kipindi hicho ili niwaonyeshe uwezo na wapate raha ambazo hawatazipata popote pale. Ili waanze kunisumbua kama niliokutana nao nikiwa na ujuzi wa namna ya kumfikisha mwanamke.

Hakika kila mtu ana historia yake ya mapenzi kutokana na jamii husika aliyokulia. Hata mimi nina historia yangu.

Nakumbuka nilianza mahusiano nikiwa darasa la sita kipindi hicho nilikua na umri wa miaka 13 tu.
Kilichonipelekea kuanza mahusiano kwa umri huo mdogo ilikua ni aina ya watu niliokua nao. Yaani kaka zangu. Ndio waliokuwa watu wangu wa karibu. Mara nyingi walikua wakienda kuonana na mademu zao, tunaenda sote.
Wakitongoza, nakua nawasikiliza na kushika mawili matatu.
Nikajikuta na mimi naanza kutongoza nikiwa shuleni. Hakika nikabahatika kuopoa kimwana ambaye tulikua darasa moja. Sitamsahau jina maana ndo mwanamke wa kwanza ambaye nilianza kuhisi kupenda tena nikiwa na umri mdogo kabisa. Jina lake alikua anaotwa JANE

Tulianza mahusiano tukawa tunapeana mpaka mashambani.
Hakika zilikua ni hisia za mapenzi ya dhati.
Ikumbukwe, mwanamke hukua haraka sana baada tu ya kuvunja ungo. Tulipomaliza darasa la saba akawa ni mwanamke mkubwa kunizidi mpaka mawazo.
Akawa hataki tena kuwa na mahusiano na mimi.
Nikaanza form one nikiwa sina demu. Nakumbuka JANE alioleowa na binamu yake kabisa maana walipeana ujauzito.
Nikiwa sec, niliendeleza mchongo wa kusaka vimwana kama kawa.
Nilibahatika kumega vimwana kadhaa shuleni na maeneo ya kijiji chetu ikawa kama nimefunguliwa sasa maana nilikua na mademu utitiri. Enzi hizo ukiwa sec tena boarding, inakua ni moja kati ya cv ya kutokataliwa na madu.
Historia ya mapenzi ikawa hivyo mpaka nilipoanza sasa kujua kuwa kumbe mwanamke inatakiwa aridhishwe.
Tangu nimejua hivyo, basi nimeshangaa nang'ang'aniwa na vimwana wa aina mbalimbali. Yaani kila nitakaye mpa utamu, lazima atake tena na tena.

Shida yangu ipo kwa wale niliopita enzi bado sijajua kuwa ilitakiwa niwaridhishe. Sijui nitawapataje maana wengi wao wameolewa na wana watoto.

Kama wewe ni mmoja kati ya wanaotamani kurudia show na walioachana nao kipindi hawajui kama kuna kitu kinaitwa kumridhisha mwanamke, usipite bila kulike
 
Aisee kweli aliyesema akili ni nywele kila mtu ana zake hakukosea duh

huyu kipili pili huyu ngumu ka stili waya,huyu za kishombe shombe zote nywele

kuna wengine wanawaza miaka mitano ijayo atakuwa level zipi,wengine akistaafu anastaafu vipi wengine kurudhisha list ya mademu aliowahi kuwapitia

Asante sana,anyway hata iweje Maisha lazima yasonge maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom