Utamu wenye maumivu

Utamu wenye maumivu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu wana Janvi.

Baada ya kua wife majukumu yamembana sana nilibahatika kupata msichana wa kazi miaka 17 kutoka Tanga tangu niwe nae ni mwezi na nusu tuuuu.

Kwa bahati mbaya aliumwa Jumatatu ya tarehe 30/9/2019 nilimpeleka hospital alipata dawa ila sijaona mabadiliko ya kupona hadi kufikia Alhamis 3/10/2019 nikaona nimpeleke tema hospitali nyengine.

Kufika hospitalini akaingia peke yake akampatia maelezo daktari anavyojisikia daktari akamuambia kapime H. I. V aliponiambia nikamtoa akili yule daktari ila nikamuambia wacha twende ila huyu daktari sie.

Baada ya kupimwa Mungu wangu nilikaribia kutoka roho machozi yakanitoka mimi na huyo mtoto kilio kikatawala alikutwa yuko na H.I.V POSITIVE walijitahidi kutupa ushauri na dawa ila walichukua namba ya simu yangu na kusema mimi ndio zamana ya muhanga yule kama hakuenda kuchukua dawa nitajibu.

Najikuta sina jinsi ila kumrejesha kwao hivi niko safarini kuelekea Tanga sijui wazazi wake watalipokeaje hili huku ukizingatia kwa mama yeye ndio mtoto pekee ama nikifika nimuache tuuu nigeuze namuonea huruma masikini Mungu kampa mtihani mkubwa kulingana na umri wake .

Naombeni ushauri
 
Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
 
Duh pole sana mkuu..
Mpe pole na mgonjwa ...mkazanie kwenye dawa atumie ataishi vizuri tu.. mkanye kuhusu kuusambaza
Najitahidi ila hizi dawa akizila utamuonea imani zinamwisha nguvu analala tuuu baada ya kuwa yeye mfanyakazi sasa mimi ndio nimekua mfanyakazi namuhudumia yeye
 
Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Ni kweli kabisa ni vyema kua nae ila huyu ni mtoto wa watu wazee wake wanaweza kuja kusema mimi ndio nimemuachia akaukwaa pili nimefikiria kumpa milioni 1 ama kama itakua ngumu japo 500,000. Ili aanzishe maisha ya biashara apate kujikimu.
 
Haya ndiyo mnayo yataka.
Ila kwa kawaida anaweza akawa hana hata hiyo H.I.V, maana nasikia sikia wakisema walau upime mara tatu, mara zote hizo ukikutwa na umeme, hapo ndiyo uhakika kuwa upo Gridi ya taifa.
ila kwakua ndiyo mara ya kwanza anaenda kucheki afya, siyo mbaya, aende tena na tena (nadhani anapaswa aende kupima tena baada ya miezi mitatu)
Niseme tu, mimi siamini katika ukimwi, naamini sana kuna magonjwa mengi ya zinaa, ila siyo ukimwi,
na ukiona binti amekuwa mzigo kwako, uje PM Uniunganishe naye.
My take; MNAOENDA KUPIMA UKIMWI, MNACHOKITAFUTA HUKO KWENYE KUPIMA, NAWAAMBIA LAZIMA MTAKIPATA.
 
Utamu wake ukwapi mkuu? ama uliuonja sasa unapatwa na maumivu utaambia nini mke?
Yaaani nilipomuuliza anasema alikua na mwanaume 1 tuuu hajawahi kua na wa pili sasa kwa umri wake alikua akihisi utamu ila kwa sasa analia bila hata kunyamazika maumivu yake ni ya maisha
 
Najitahidi ila hizi dawa akizila utamuonea imani zinamwisha nguvu analala tuuu baada ya kuwa yeye mfanyakazi sasa mimi ndio nimekua mfanyakazi namuhudumia yeye
Hio inatokea mwanzoni lakini baada ya muda atazoea atakuwa anakula kama pipi tu bila hizo side effects
 
Habari zenu wana Janvi.

Baada ya kua wife majukumu yamembana sana nilibahatika kupata msichana wa kazi miaka 17 kutoka Tanga tangu niwe nae ni mwezi na nusu tuuuu.

Kwa bahati mbaya aliumwa Jumatatu ya tarehe 30/9/2019 nilimpeleka hospital alipata dawa ila sijaona mabadiliko ya kupona hadi kufikia Alhamis 3/10/2019 nikaona nimpeleke tema hospitali nyengine.

Kufika hospitalini akaingia peke yake akampatia maelezo daktari anavyojisikia daktari akamuambia kapime H. I. V aliponiambia nikamtoa akili yule daktari ila nikamuambia wacha twende ila huyu daktari sie.

Baada ya kupimwa Mungu wangu nilikaribia kutoka roho machozi yakanitoka mimi na huyo mtoto kilio kikatawala alikutwa yuko na H.I.V POSITIVE walijitahidi kutupa ushauri na dawa ila walichukua namba ya simu yangu na kusema mimi ndio zamana ya muhanga yule kama hakuenda kuchukua dawa nitajibu.

Najikuta sina jinsi ila kumrejesha kwao hivi niko safarini kuelekea Tanga sijui wazazi wake watalipokeaje hili huku ukizingatia kwa mama yeye ndio mtoto pekee ama nikifika nimuache tuuu nigeuze namuonea huruma masikini Mungu kampa mtihani mkubwa kulingana na umri wake .

Naombeni ushauri
Vipi kwanza uli mlaaa au?

Nauliza tu
 
Haya ndiyo mnayo yataka.
Ila kwa kawaida anaweza akawa hana hata hiyo H.I.V, maana nasikia sikia wakisema walau upime mara tatu, mara zote hizo ukikutwa na umeme, hapo ndiyo uhakika kuwa upo Gridi ya taifa.
ila kwakua ndiyo mara ya kwanza anaenda kucheki afya, siyo mbaya, aende tena na tena (nadhani anapaswa aende kupima tena baada ya miezi mitatu)
Niseme tu, mimi siamini katika ukimwi, naamini sana kuna magonjwa mengi ya zinaa, ila siyo ukimwi,
na ukiona binti amekuwa mzigo kwako, uje PM Uniunganishe naye.
My take; MNAOENDA KUPIMA UKIMWI, MNACHOKITAFUTA HUKO KWENYE KUPIMA, NAWAAMBIA LAZIMA MTAKIPATA.
HAYA NANENO YAKO NIMECHEKA SANA MKUU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ""mara zote hizo ukikutwa na umeme, hapo ndiyo uhakika kuwa upo Gridi ya taifa.""
 
"AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI"

Habari zenu wana Janvi.

Baada ya kua wife majukumu yamembana sana nilibahatika kupata msichana wa kazi miaka 17 kutoka Tanga tangu niwe nae ni mwezi na nusu tuuuu.

Kwa bahati mbaya aliumwa Jumatatu ya tarehe 30/9/2019 nilimpeleka hospital alipata dawa ila sijaona mabadiliko ya kupona hadi kufikia Alhamis 3/10/2019 nikaona nimpeleke tema hospitali nyengine.

Kufika hospitalini akaingia peke yake akampatia maelezo daktari anavyojisikia daktari akamuambia kapime H. I. V aliponiambia nikamtoa akili yule daktari ila nikamuambia wacha twende ila huyu daktari sie.

Baada ya kupimwa Mungu wangu nilikaribia kutoka roho machozi yakanitoka mimi na huyo mtoto kilio kikatawala alikutwa yuko na H.I.V POSITIVE walijitahidi kutupa ushauri na dawa ila walichukua namba ya simu yangu na kusema mimi ndio zamana ya muhanga yule kama hakuenda kuchukua dawa nitajibu.

Najikuta sina jinsi ila kumrejesha kwao hivi niko safarini kuelekea Tanga sijui wazazi wake watalipokeaje hili huku ukizingatia kwa mama yeye ndio mtoto pekee ama nikifika nimuache tuuu nigeuze namuonea huruma masikini Mungu kampa mtihani mkubwa kulingana na umri wake .

Naombeni ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom