Hii puzzle Mungu angetutatulia tu

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
Nimpendaye hana habari na mimi
Anayenipenda hata ajitahidi vipi tena jitihada zake za kunifurahisha ndio naziona kero sasa

Mungu angerahisisha tu awakutanishe kwa urahisi wapendanao kwa dhati na si kwa sababu fulani.

Eeh Mungu twakuomba utusikie!
 
Ye mwenyewe Kuna puzzle huko linaitwa shetani limemshika haswa hili tupambane nalo wenyewe ndugu
 
Hapo pa ubatili sasa ndugu yangu
Mbona Mungu hajacomplectisha saaana endapo ukiwa katika sheria zake 100%.

Kazi ni rahisi saana ukioneshwa na Mungu. Ingawa ubatili ni mwingi sana
 
Nimpendaye hana habari na mimi
Anayenipenda hata ajitahidi vipi tena jitihada zake za kunifurahisha ndio naziona kero sasa
Mungu angerahisisha tu awakutanishe kwa urahisi wapendanao kwa dhati na si kwa sababu fulani.
Eeh Mungu twakuomba utusikie!
Mungu anaruhusu uzinzi kabla ya ndoa? Umeanza kuzini ukiwa na umri wa miaka 16 kabla ya ndoa halafu Mungu akusaidie vipi? utakuta mtu anawapenzi 2 na kuendelea halafu na yeye anamuomba Mungu amsaidie kwa lipi? Mungu anahitaji mtu anayefuata sheria zake. Umejuaje kama unayempenda hakupendi na yule usiyempenda anakupenda? ACHENI UZINZI NDIYO MTAONA MKONO WA MUNGU. UKIMTUMIKA MUNGU KATIKA KWELI HAYO MAPUZZLE HUWEZI KUYAONA
 
Mtakatifu Mgg3 🤭🤭

Hivi Adam na Hawa walifungia wapi ndoa?
 
Back
Top Bottom