Na baridi kama hii

Na baridi kama hii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,884
Reaction score
845,775
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa matumizi ya summer
IMG_20191008_184355.jpeg
 
Nimeshindwa kuelewa hiyo saa inasema saa ngapi maana mshale wa saa nawa dakika ni kama vinashindana nani atawahi kufika
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa matumizi ya summer View attachment 1227778
 
Back
Top Bottom