Matumizi ya condom na changamoto zake

Matumizi ya condom na changamoto zake

Petrol Tank

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
205
Reaction score
372
Nimekuwa sio mtumiaji sana wa hii mipira lakin ninapo itumia nateseka sana bao la kwanza angalau linaenda vizur japo kwa muda na ukavu kidogo ni changamoto.

Ila kwa mimi bao la pili mwanamke anakuwa amekauka sana na wakati mwingine nashindwa kulimaliza na hii imeshanitokea kwa zaidi ya mwanamke mmoja.

Wadau huwa mnafanyaje kwenye hii changamoto? Mana unaweza tamani uuze mechi

13EF914B-5921-4AD4-BB89-2E904E227EB0.jpeg
 
Nimeacha kutumia kondomu ni baada ya kugundua wanawake wengi huwa wanakuzalau wanakuchukulia kama lena,.
Nimegundua njia mbadala ya kutumia antibiotic ili tu kujilinda na magonjwa madogomadogo, maana nimejifunza kuwa hauwezi kuuzuia UKIMWI kwa kondom
 
Hahhaaha

Mzee una hatari!

Unatomba kavu kabisa dunia hii?

Una roho ngumu kama jiwe!

Endelea kuutafuta utaupata tu!
 
Nimekuwa sio mtumiaji sana wa hii mipira lakin ninapo itumia nateseka sana bao la kwanza angalau linaenda vizur japo kwa mda na ukavu kidgo ni changamoto
Ila kwa mm bao la pili mwanamke anakuwa amekauka sana na wakat mwingine nashindwa kulimaliza na hii imesha nitokea kwa zaid ya mwanamke mmoja. Wadau huwa mnafanyaje kwenye hii changamoto? Mana unaweza tamani uuze mechiView attachment 1191767
Yaani wewe hadi leo bado unatumia tu Condom una roho ngumu siku hizi watu wanatumia tu mafuta ya KY unapaka kwenye UUME na kwenye UKE kuepusha michubuko unakula nyama yako vizuri kabisa
 
Baharia gani unakuwa muoga muoga tembeza rungu wewe.Kufa kupo tu

Usipokufa kwa ngoma, utakufa hata kwa ajali ya bodaboda.

Ngoma ma bro wetu wazungu wameipunguzia makali, Sasa hivi unakula karanga zako huku ukiendelea kuchapa rungu.
 
Sio malaya ila kuna changamoto za hapa na pale, mfano unakamuliwa maziwa mdomoni utatema?
Acha uzinzi

Umesema imekutokea kwa wanawake zaidi ya mmoja si umalaya huo?

Ukikuacha ukimwi wewe utapata kisonono mwana haramu wewe
 
Baharia gani unakuwa muoga muoga tembeza rungu wewe.Kufa kupo tu

Usipokufa kwa ngoma, utakufa hata kwa ajali ya bodaboda.

Ngoma ma bro wetu wazungu wameipunguzia makali, Sasa hivi unakula karanga zako huku ukiendelea kuchapa rungu.
daaaaah,jamaa una akili sana ww,hebu picha wali nyama na soda hapo chap,huu ndo ujasiri ninaoutaka mm,loweka tu
 
Tumia vilainishi kwa sana

Back
Top Bottom