OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Habari watu wema! Hii ni kwa wale waliopo mapenzini ambao mapenzi yao yanastawi, yana uhai na sifa za mapenzi bora.
Msifanye upuuzi, kama kupiga picha za uchi kwa kuwa mnapendana sana, au kuchorana tatoos kuwekeana majina mwilini mwenu.
Hayo madude yamewacost wengi. Mapenzi huanza kwa mbwembwe ila huwa yanaisha utamu na mnajikuta mnaona heri kuachana.
So, furahia mapenzi ila jiwekee mipaka ili usije kuumia zaidi when it happens love fails