Amenimbia kila siku anaomba dua ili hata anione ndotoni kwake

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Ati kwa vile hawezi kuniona in real life na hajui ataniona lini 👾 ila kuna watu waongo sana 😂
 
Sasa binti bila uwongo utalika vipi
Tukicheki we ni binti mrembo unavutia una Mada za kuvutia humu jamii forums kichwani upo smart ni mzur kuliko warembo wote humu ndani upstairs upo vzr so lazima akudanganye





Hata Mimi nimekudanganya vyote nilivyosema juu yako hapo nilikuwa nai describe pombe

Imbecile
 
Hizi ni dalili tosha za mimba, we ee sikilizia siku zako na wiki hii itakuwa ya 9
 
Back
Top Bottom