Ujumbe kwa mabinti wanaotaka kuolewa

Ujumbe kwa mabinti wanaotaka kuolewa

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Nawasalimuni nyote!

Naomba ku declare interest kuwa nimeoa

Baada ya hapo naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa
kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni kuwa:-

1. Hakuna mwanaume anayetoka mbinguni kuja kukuoa, mwanaume wa kukuoa ni huyo wa mtaani kwako, schoolmate au co worker. Ni kawaida sana kwa ninyi kuwadharau na kuwatolea lugha mbovu hao wanaokuzunguka. Nyie ndio mnaodai huyo sio wa hadhi yangu. Mwishoni unaenda kulia madhabahuni au kwa waganga wa kienyeji!! Sasa wewe baki ukiwadharau wanaokuzunguka uone kama hautaishia kulia makanisani kila siku.

2. Jiheshimu na heshimu wenzako. Binti unapaswa kujiheshimu kwa kila kitu. Sio mtaani hata uvaaji wako ni wa hovyo. Kuna wanawake ukiwaona tu ni wife material just kwa kujiheshimu kwao.

3. Tengeneza mahusiano na watu sahihi. Wapo wanawake ambao huwa na mahusiano na waume za watu. Hapa unategemea ndoa gani..

4. Epuka tamaa ya mali maana wengine mnajifanyaga kutaka wenye magari na fedha. Utasikia mtu akisema siwezi kuolewa na huyo hana mbele wala nyuma. Just be normal maana mali na fedha huja baadaye.
 
Nawasalimuni nyote!

Naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa
Kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni kuwa:-

1. Hakuna mwanaume anayetoka mbinguni kuja kukuoa, mwanaume wa kukuoa ni huyo wa mtaani kwako, schoolmate au core worker.. Ni kawaida saana kwa ninyi kuwadharau na kuwatolea lugha mbovu hao wanaokuzunguka. Nyie ndio mnaodai huy sio wa hadhi yangu. Mwishoni unaenda kulia madhabahuni au kwa waganga wa kienyeji!! Sasa wewe baki ukiwadharau wanaokuzunguka uone kama hautaishia kulia makanisani kila siku.

2. Jiheshimu na heshimu wenzako. Binti unapaswa kujiheshimu kwa kila kitu. Sio mtaani hata uvaaji wako ni wa hovyo . kuna wanawake ukiwaona tu ni wife material just kwa kujiheshimu kwao.

3. Tengeneza mahusiano na watu sahihi.. Wapo wanawake ambao huwa na mahusiano na waume za watu.. Hapa unategemea ndoa gani..

4. Epuka tamaa ya mali maana wengine mnajifanyaga kutaka wenye magari na fedha. Utasikia mtu akisema siwezi kuolewa na huyo hana mbele wala nyuma. Just be normal maana mali na fedha huja baadaye
Sera mpya ya kumpata mke:
1- Tongoza na endelea kumeng'enya tunda mwaka mzima
2- Uchumba miaka miwili
3- Kaa nae pika pakua miaka minne
Baada ya hapo mfikirie kumuoa

NB:usichague chakula wakati wa njaa ukishiba utaanza kukinai
 
Dawa ni Elimu lika..na Darasa jamii inatosha sana Hawa dada zetu kuanza kutuita Mume material hata sisi wenye vibamia,Faceless,na money empty
 
Dah halafu kuna mademu humu utakuta wanajifanya high classic sijui oohh, sitaki mnuka jasho nataka Mwenye range. .

Mmeona convoy hiyo? Na hapo ni mlima wa moto tu, bado gwajima hajawaita, mito ya Baraka bado, kakobe bado, mwakasege, nk.

Wanawake eshimuni wanaume maana ndio kiumbe pekee kilicho barikiwa na mungu ninyi ni wasaidizi tu.
 
Tuendelee kuwazalizishia huko huko waliko!!
 
Dah halafu kuna mademu humu utakuta wanajifanya high classic sijui oohh, sitaki mnuka jasho nataka Mwenye range. .

Mmeona convoy hiyo? Na hapo ni mlima wa moto tu, bado gwajima hajawaita, mito ya Baraka bado, kakobe bado, mwakasege, nk.

Wanawake eshimuni wanaume maana ndio kiumbe pekee kilicho barikiwa na mungu ninyi ni wasaidizi tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 mabaharia tunawacheki tu na kusema hiiiiiii,,,wacha tuzamie mlima wa moto tukaopoe vimwali.
 
,
Sera mpya ya kumpata mke:
1- Tongoza na endelea kumeng'enya tunda mwaka mzima
2- Uchumba miaka miwili
3- Kaa nae pika pakua miaka minne
Baada ya hapo mfikirie kumuoa

NB:usichague chakula wakati wa njaa ukishiba utaanza kukinai
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom