Wanaume wenzangu msiwachukulie serious sana wanawake ili muishi miaka mingi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ata kama unampenda kiasi gani jitahidi usimuonyeshe madhaifu yako kwake ambayo atafanya ayatumie kukuumiza ,

Wanawake ni viumbe wa Ajabu sana wanaweza kuamua kuchepuka na JUMA Kwa sababu tu baba yake ni shekhe wa mtaa hakuna kingine, anaweza kuchepuka na PETTER kwa sababu tu utotoni walikuwa wanacheza kombolela pamoja,vivyo hivyo anaweza kuchepuka na Zero IQ kwa sababu anampelekea Viepe,

hatukatai usaliti upo lakini usaliti wa wanawake ni usaliti wa Ajabu sana, mwanamke unaweza kumgegeda mpaka papuchi yake itoe harufu ya kiungulia na huduma zote unampa lakini bado akikutana na Ally mzoa Taka atampa papuchi kisa ni mcheshi tu,

Wanawake sio watu wa kuwaamini sana mpaka kufikia kujiaminisha kwamba ndio Rest of your life,

Wanawake wa sasa Tuishi nao kama wasaidizi tu, hakuna haja ya kuwafatilia fatilia sana,
ishi,fanya maisha pamoja nae lakini kaa ukijua kwamba ipo siku mtazinguana.

Mwanaume Ukitaka kuishi kwa kumfatilia sana mwanamke basi ujue Siku zako za Kuishi ni chache nazo zitajaa tabu, mawazo na stresss kiwango cha SGR.

Cc Zero IQ
 
Kwenye hii thread umetumia 0.5 IQ

Tatizo wanaume tunatumia nguvu nyingi na gharama nyingi kupita uwezo wetu kuishi na wanawake!
Yaani hili fumbo kuna watu walitakiwa wapate maelezo maalumu badala ya kuambiwa muishi na wanawake kwa akili.
 
Ni kweli 100%

But same goes kwa wanaume,anaweza kuwa na mwanamke muelewa,hachepuki na ni mama/mke bora kwake lakini sasa

Kama mke ni mwembamba akikutana na mnene atatamani kuonja ladha ya mnene na vice versa
Kama mke ni mfupi atatamani kuonja ya mwanamke mrefu na vice versa
Kama mke ni mweusi atatamani kuonja ya mweupe na vice versa
Kama mke hana mwanya alikutana na mwenye mwanya atataka kuonja
Kama mke huwa hampi kubwa atatamani kuchepuka na anayetoa kubwa
Yaani mambo ni mengi sana kwao

Kiufupi ni kwamba do not trust anything with a dick
 
Daaaah you nailed it
 
Ata kama unampenda kiasi gani jitahidi usimuonyeshe madhaifu yako kwake ambayo atafanya ayatumie kukuumiza ,

Wanawake ni viumbe wa Ajabu sana wanaweza kuamua kuchepuka na JUMA Kwa sababu tu baba yake ni shekhe wa mtaa hakuna kingine, anaweza kuchepuka na PETTER kwa sababu tu utotoni walikuwa wanacheza kombolela pamoja,vivyo hivyo anaweza kuchepuka na Zero IQ kwa sababu anampelekea Viepe,

hatukatai usaliti upo lakini usaliti wa wanawake ni usaliti wa Ajabu sana, mwanamke unaweza kumgegeda mpaka papuchi yake itoe harufu ya kiungulia na huduma zote unampa lakini bado akikutana na Ally mzoa Taka atampa papuchi kisa ni mcheshi tu,

Wanawake sio watu wa kuwaamini sana mpaka kufikia kujiaminisha kwamba ndio Rest of your life,

Wanawake wa sasa Tuishi nao kama wasaidizi tu, hakuna haja ya kuwafatilia fatilia sana,
ishi,fanya maisha pamoja nae lakini kaa ukijua kwamba ipo siku mtazinguana.

Mwanaume Ukitaka kuishi kwa kumfatilia sana mwanamke basi ujue Siku zako za Kuishi ni chache nazo zitajaa tabu, mawazo na stresss kiwango cha SGR.

Cc Zero IQ
Ni kweli kabisa, mchakata viazi. Wengi ni watu wazima lakini maturity ni zero.
 
Back
Top Bottom