sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Yaani nikipanga kukutana na mwanamke tu, basi either nitaumwa au kutatokea dharura itakayonitaka nitoe hela hadi niliyopanga kwa kutumia maeneo.
Mara nyingi nimekuwa nikicancel appointment hadi inafika wakati nahisiwa jogoo hapandi mtungi.
Ni wito wa uchungaji au nini?
Mara nyingi nimekuwa nikicancel appointment hadi inafika wakati nahisiwa jogoo hapandi mtungi.
Ni wito wa uchungaji au nini?