Hizi nazo niziite baraka ama?

Hizi nazo niziite baraka ama?

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
734
Reaction score
1,213
Wanasema baraka zikifunguliwa humiminika kwa pamoja ila najiuliza kwa hili tuite nazo ni baraka ama mtego!

Wiki iliyopita nimepokea appointment ya kutembelewa wasichana watatu tofauti ambao walitaka kuja ghetoni kwangu siku moja ambayo ni jumamosi iliyopita.

Mademu hawa wote ni wakali niliwatongoza muda mrefu lakini nikakomea kuzungushwa sana mpaka nikasema moyoni cha kufia nini mpaka nahangaika ivo ilifikia mahali niliwapotezea mazima miezi zaidi ya minne imepita, ila cha ajabu ndo hicho Ijumaa nilitafutwa kwenye simu kila mmoja kwa muda wake na wote walihitaji tuonane.

Niliwaza sana iweje wanitafute siku moja wakati hawajuani nikasubiri kesho yake nione kama ni mchezo walipanga wanichezee, ukweli haikuwa mchezo mambo yalikuwa serious, ndipo nilipoamua kuwapanga pale ghetoni nakufanikiwa kuwatafuna wawili kati ya watatu.

Siku ya Jmosi mmoja alifika saa 5 asubuhi alikaa mpaka saa11 jioni, mwingine alikuja saa saa 1 jioni na akalala na mwingine aliyebaki alishindwa ilibidi nimwambie nina dharura so nilimwambia tufanye Jumapili ila pia nikamalizana naye juzi.

Mabaharia wenzangu hizi nazo ni baraka kweli ama shetani ananitafuta, au ndiyo hali ya upepo wa kisulisuli?
 
Doooh..... Ambaye hajawah pata mademu dzaini hii atabisha sana lakini ukweli ndo huo mkuu kuna wakati zinafululiza hivo ishanikuta na nikatafuna kila mtu kwa masaa yake, ukicheza vzr na muda tu na ukala ukarelax aseeeh unazibinua fresh.
 
Hii imenikuta pia jumamosi ex wangu wawili wakali hivi, wamenitafuta kwa muda unaofanana katika kuongea nao wanadai hawapo kwenye mahusiano na hawataki tena hayo mambo... nilicheka sana nikawaambia uamuzi mzuri sana nikaacha wapite na upepo wao..!
 
Wanasema baraka zikifunguliwa humiminika kwa pamoja ila najiuliza kwa hili tuite nazo ni baraka ama mtego!

Wiki iliyopita nimepokea appointment ya kutembelewa wasichana watatu tofauti ambao walitaka kuja ghetoni kwangu siku moja ambayo ni jumamosi iliyopita.

Mademu hawa wote ni wakali niliwatongoza muda mrefu lakini nikakomea kuzungushwa sana mpaka nikasema moyoni cha kufia nini mpaka nahangaika ivo ilifikia mahali niliwapotezea mazima miezi zaidi ya minne imepita, ila cha ajabu ndo hicho Ijumaa nilitafutwa kwenye simu kila mmoja kwa muda wake na wote walihitaji tuonane.

Niliwaza sana iweje wanitafute siku moja wakati hawajuani nikasubiri kesho yake nione kama ni mchezo walipanga wanichezee, ukweli haikuwa mchezo mambo yalikuwa serious, ndipo nilipoamua kuwapanga pale ghetoni nakufanikiwa kuwatafuna wawili kati ya watatu.

Siku ya Jmosi mmoja alifika saa 5 asubuhi alikaa mpaka saa11 jioni, mwingine alikuja saa saa 1 jioni na akalala na mwingine aliyebaki alishindwa ilibidi nimwambie nina dharura so nilimwambia tufanye Jumapili ila pia nikamalizana naye juzi.

Mabaharia wenzangu hizi nazo ni baraka kweli ama shetani ananitafuta, au ndiyo hali ya upepo wa kisulisuli?
 
Kwenye baraka kuna laana ndani yake[emoji849][emoji849]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom