beevenom
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 313
- 433
Habari zenye wadau, niende moja kwa moja katika kisa changu. Jana nikiwa nafanya mazoezi home mara simu ikaita kwa namba ngeni. Ikabidi nipokee nikamweleza nipo katika mazoezi.
Dadika mbili nyingi nashangaa mwenzangu bashasha usoni limeyeyuka kama barafu baada ya kuwekwa juani.
Nikagundua kitu hakipo sawa,nikiwa naendelea kufanya mazoezi akachukua simu na kuperuzi kwa dk kama 15 hivi,ikabidi nijifanye bize tu. Tukaketi kwa meza kwa msosi bado nahisi mmmmmmh ibilisi anapiga hodi home.
Kasheshe tumeenda kulala yeye bize na kuchat tu mpaka nikapitiwa na usingizi. Sasa simu iliwekwa mbali kwenye charge,sms zikaingia tatu hivi nikazisoma na kupiga zangu usingizi. Bwana wewe kumbe mwenzangu kajipa kazi ya uchunguzi wa siri wa simu yangu. Saa tisa nasikia anabofya simu yangu haswa,yaani ni fulu uchambuzi wa taarifa. Mi namchora tu maana nililala kiwiziwizi leo.
Namna ya kuipata simu alijifanya anaenda washroom ile anapanda kwa bed akaipitia simu yangu kama kipanga vile mi namchora tu. Kakukuluka nayooooo weee kama dakika 40 ikabidi niamke nianze kupitia simu nyingine,mara nasikia anasema simu yako hiyo hapo. Nikajifanya kuguna mmhh mmh,akapiga zake usingizi mnene.
Hivi wake zetu kwanini tupeane shida hivi,simu yangu kwanini univizie? Hovyo kabisa. Asubuhi nimepanga kuchomoka mapema kwenda job sitaki story za ajabu ajabu mimi