GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,326
- 4,246
Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi.
Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/="
Ndugu zangu mimi siitwi 7800/= na wala mimi sio baharia kabisa ila mimi naitwa MAGALLAH R.
Naomba ID yangu izingatiwe. Ninasistiza tena mimi sio "BAHARIA WA 7800/=. Nadhani tumeelewana. PUUUUUUUMBAVU SANA.