Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,311
Tuna miaka michache sana ya kuishi hapa duniani. Je, kwa uchache huo unategemea kufanya kitu gani kama ukumbusho au alama ya uwepo wako hapa duniani?
Kila mkoa niwe na watoto 3Tuna miaka michache sana ya kuishi hapa duniani. Je kwa uchache huo unategemea kufanya kitu gani kama ukumbusho au alama yauwepo wako hapa duniani?
ha ha ha inapendeza sana mkuu,changamoto ni namna ya kuwapa hudumaKila mkoa niwe na watoto 3
Wazo zuri mkuu,ila umeweka bajeti kiasi gani katika kuhudumia huo uzao?Nitazaa na makabila yote ya Tanzania na nchi zote jirani.
Jitahidi utoe fungu la kumi mara nyingi zaidiKusali na kumuomba Mwenye Enzi Mungu anirehemu kwakua nimetenda dhambi.
Kweli mkuu,lakini tunazitafuta na haziji.Tafuta pesa tu ili wajukuu zako wawe na maisha mazuri
Mkuu ukifanikiwa hili,mpaka sayari ya pluto itakufahamuimpact nitakayoiacha ni kuwazawadia dawa/tiba ya gonjwa hatari la ukimwi
Kweli mkuu nakubaliana na hoja yakoFurahia maisha yako, jipe raha kwa kutenda yanayokufurahisha.
Mimi nawekeza kwa makao ya milele guko tuendako. We unawekeza hapa duniani. Vipa umbele vimeshapishana.Tuna miaka michache sana ya kuishi hapa duniani. Je, kwa uchache huo unategemea kufanya kitu gani kama ukumbusho au alama ya uwepo wako hapa duniani?
ha ha ha mkuu umetoa fungu la kumi kiasi gani?Mimi nawekeza kwa makao ya milele guko tuendako. We unawekeza hapa duniani. Vipa umbele vimeshapishana.
Ujumbe mzuri mkuuPitia na haka kawimbi kidogo
My Love Is Your Love
Whitney Houston
If tomorrow is judgment day
And I'm standing on the front line
And the Lord asks me what I did with my life
I will say I spent it with you *
If I wake up in World War III
I see destruction and poverty
And I feel like I want to go home
It's okay if you're coming with me
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
If I lose my fame and fortune (really don't matter)
And I'm homeless on the street (on the street Lord)
And I'm sleeping in Grand Central Station (okay)
It's okay if you're sleeping with me
As the years they pass us by (the years, the years, the years, the years, the years)
We stay young through each other's eyes (each other's eyes)
And no matter how old we get
It's okay as long as I got you baby
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
If I should die this very day (very very very day)
Don't cry (don't cry), 'cause on Earth we weren't meant to stay
And no matter what the people say (really don't matter)
I'll be waiting for you after the judgment day
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
'Cause your love is my love
And my love is your love
It would take an eternity to break us
And the chains of Amistad couldn't hold us
Source: LyricFind