Habari zenu wana jamvi nina imani kuwa nyote wazima wa afya.
Naomba niende kwenye mada......
Huwa navutiwa sana na mabinti weupe kuliko mabinti weusi na hasa hawa mabinti tokea mkoa wa singinda...
Dah, nishaurini wakuu,
Nina msichana wangu nimedumu naye miezi miwili sasa.
Ni mzuri balaa na kwa muonekano wa nje anaonekana ni binti anayejisheshimu haswa, nilipata shida sana mpaka kumpata...
Sijui mna matatizo gani yani mtu unampa nauli elfu 20 anakuambia nipe hela ya nauli hii nna matumizi nayo, ukimuongezea elfu5 utaskia nipe hela ndogo hii nataka nikasuke, ukimpa elfu mbili tena...
Habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 Ninaishi Dar Es Salaam.
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
* Mrefu asiwe mfupi sana
* Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
* Awe hajazaa
* Awe...
Heshima kwenu wana MMU,
Nimeuliza hilo swali kwa wasukuma ili nipate majibu hasa ya kile ambacho rafiki yangu kinamtokea hivi sasa.
Nina rafiki Msukuma ambae anafanya kazi Mtwara, rafiki yangu...
Vyuma vikikaza utapeli uongo na ulaghai vinazidi kuongezeka.. Hakuna wakweli siku hizi si wanawake si wanaume... Zamani zile haya Mambo yalikuwepo lakini kwa kiwango cha chini sana
Miaka ya hivi...
Wajumbe wa bodi ya wadhamini wa mmu
Wakuu Mimi binafsi nishatuma Nauli Mara kadhaa, Kwa mademu ninao fahamiana nao kabisa (ila Wako mbali), Lakini wakatokomea kabisa Simu anazima, halafu baadae...
Daaah!! week mbili kama zilizopita kuna demu moja hivi alihamia mahali nilipopanga, kwa kweli demu ni mzuri yaani nimetokea kumuelewa vibaya mno.
Huyu manzi huwa ananisaidia sana kwenye issue za...
Kuna manzi mmoko nikuwa natafunemo kisela zile za nikimkuta mahali anaweza ntumia sms leo uschukue demu nakupa mm na naweza muona na mtu ,mnyama navunga anajifanya anatoka kuongea na cm na mla...
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu...
Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz...
Kuna dada alinihadithia alivyokutana na mume wake. Walisoma wote shule ya msingi enzi zile za ujamaa hakuna English Medium wote tulikuwa St Kayumba. Mume wake alikuwa anakuja shule na deli la...
Inaamini kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu.
wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo...
Jana jioni nilikua nachati na demu wangu katika kuchatichati nilijikuta naandika kwenye kikasha cha mama ujumbe haukua mzuri kwakweli nilifuta haraka rakini ripoti ilirudi kwangu kua ujumbe...
Good morning, guys!
Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini...
Wakuu,
Leo nilimpeleka wife kujifungua, sema kilichoniuma ni kuona wanaoenda kumzalisha ni vidaktari vitoto sana yani daah nimeumia kwa kweli yani vile vitoto vinaenda kushika papuchi ya mke...
Habarini wana MMU. Nimewamisi sana. Natumai mtanistahi kidogo nawajua kwa majibu ya ovyo hamjambo.
Mimi kuna observation nimepata. Wanaume kwanini hampendi kushikwa makalio na wenzi wenu? Kwa...
Wakuu kuna jambo huwa linanipa utata, hasa hawa mabinti wanaopangisha.
Kiafrika, binti anayekaa kwao anaaminika sana wakati wa kuchumbiwa kuliko aliyepangisha.
Swali ni je, mwanamke anayefanya...