Sasa umefika wakati wa kutekeleza adhma yangu ya kuwa na mke. Kwa yeyote mwenyeji wa huko

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Habari zenu wana jamvi nina imani kuwa nyote wazima wa afya.
Naomba niende kwenye mada......

Huwa navutiwa sana na mabinti weupe kuliko mabinti weusi na hasa hawa mabinti tokea mkoa wa singinda na dodoma huko kondoa. jambo lilopelekea kuahidi kuoa binti mweupe tokea mikoa hio tajwa.

Pamoja na kuzingatia kigezo cha tabia na nasaba ya ninataka kumuo lakini pia suala la rangi kwangu nimelitilia kipaumbele hivyo namuomba sana Mungu anijalie nipate binti wa namna hio kwani kinyume na hapo hata nikioa mke mzuri lakini mweusi nitaendelea kuwazimikia na kuishia kuwatamani hawa wanawake waepe kwani ndicho roho yangu imekufa na kuzikwa hapo.

Hivyo sasa baada ya maandalizi yote pamoja na kujipanga kiuchumi na mengineyo kilichobaki sasa ni mimi kuanza kutembelea mikoa hio ili nitafute mchumba yule roho yangu inapenda.

Kwa yeyote anaefahamu mkoa wa singida au dodoma ambapo nikienda naweza tia kambi ili niweze kutafuta binti wa kuoa huko, kwani nimeomba likizo kazini kutimiza hazma hio ndani ya mwezi ujao nimpate binti na utaratibu mwingine uendelee kama kawaida na katika hili natuliza akili sana ili nisije dondokea pua.

Nawasilisha kwenu kwa mwenye ushauri na anaweza kunishauri maeneo yapi nianzie mkoa wa singida karibu sana kwa ushauri wako.
 
Cha kufanya kaweke kambi hio mikoa tajwa unayotaka kwenda jichanganye na watu na wasijue lengo lako jifanye mkazi tu ila mwezi mmoja ni mdogo kutambua tabia ya mtu naona kama unaharakisha sana.

Nb :ukikutana na Dada anayekuvutia huko mtongoze ila usigusie suala la ndoa wala usimwambie naoa mwezi ukiisha kuna watu ni wazuri kuigiza tabia ili kuficha makucha yao wapate kile wanachokipata we nenda tu huko ila wasijue intention yako
Kwakua umeamua kuoa mrangi au mnyaturu ,mmbulu wanaopatikana mikoa hiyo mabaharia tumefurahi sana furaha isiyoelezeka mabaharia wenyewe wanaelewa tukwambie tu karibu nae kitaaa
 
Singida,Kondoa,Dodoma
Naona umeplan kuolea mtaa
Wewe jiheshimu.
Tabia ya mtu ya mtu now days kabila na tabia ya mtu havina uhusiano.
Hao wadangaji wote mjini ni warangi au wauzaji wote ni warangi?
Ungejua they are wife material s ata usingeongea,wakitulizwa wanatulia.
 
Nijiheshimu mara ngapi?! Umepanic
 
Cha kufanya kaweke kambi hio mikoa tajwa unayotaka kwenda jichanganye na watu na wasijue lengo lako jifanye mkazi tu ila mwezi mmoja ni mdogo kutambua tabia ya mtu naona kama unaharakisha sana.

Nb :ukikutana na Dada anayekuvutia huko mtongoze ila usigusie suala la ndoa wala usimwambie naoa mwezi ukiisha kuna watu ni wazuri kuigiza tabia ili kuficha makucha yao wapate kile wanachokipata we nenda tu huko ila wasijue intention yako
Kwakua umeamua kuoa mrangi au mnyaturu ,mmbulu wanaopatikana mikoa hiyo mabaharia tumefurahi sana furaha isiyoelezeka mabaharia wenyewe wanaelewa tukwambie tu karibu nae kitaaa
Nashukuru kwa ushauri mzuri sana mungu akubariki ntajitahid kufuata ushauri wako pale itakapotakikana kufanya hvyo
 
Cha kufanya kaweke kambi hio mikoa tajwa unayotaka kwenda jichanganye na watu na wasijue lengo lako jifanye mkazi tu ila mwez mmoja ni mdogo kutambua tabia ya mtu naona kama unaharakisha sana

Nb :ukikutana na Dada anayekuvutia huko mtongoze ila usigusie suala la ndoa wala usimwambie naoa mwez ukiisha kuna watu ni wazuri kuigiza tabia ili kuficha makucha yao wapate kile wanachokipata we nenda tu huko ila wasijue intention yako

Kwakua umeamua kuoa mrangi au mnyaturu ,mmbulu wanaopatikana mikoa hiyo mabaharia tumefurahi sana furaha isiyoelezeka mabaharia wenyewe wanaelewa tukwambie tu karibu nae kitaaa
Wewe aliyekuhurt mpaka ukawa ulivyo ni mrangi????Hadi great thinker unafikiria warangi wote Malaya??wtf

Let me ask you son n daughters of God!
Mmewafumania wanawake zenu mara ngapi au mmetendwa mara ngapi na wapenzi wenu?Ni warangi??
Hao bongo movie ts just a sample,Ni warangi??

Embu acheni kugeneralize basi!pili tabia ya mtu ya mtu tuu.b

Sijaumizwa na yeyote mkuu

Halafu mbona Mimi sijasema kabila mkuu hapo juu au umesoma vibaya
 
Back
Top Bottom