LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Kawaida naamini kutulia na mmoja mliyepima afya ndio dili kwani ladha ni ile ile tu ila sura, usafi na tabia wametofautiana.
Lakini wakuu nimebahatika kupata mwanamke mzuri lakini 6/6 ananifanya nifikirie kumuacha kimya kimya; anafika kileleni mapema sana, yaani nikipiga mechi nonstop dakika 30 huwa tayari anapotea usingizini au kuwa kama mtu aliyekufa ganzi, hapo hapo na akiamka anasema yeye kashatosheka, anavaa anaenda kuoga anaondoka.
Sasa hii hali inanivuta kuchepuka na nikichepuka najua kuna madhara lakini nimeona ni afadhali kuchepuka tu au nitafute fundi tu nitulie naye maana nishaichoka hii hali.
Sent using Jamii Forums mobile app