mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,725
Leo nimekaa likanijia wazo la kijana Diamond ambaye ni homa ya jiji na Africa kiujumla, huyu jamaa kwa upande wangu ni Risk taker katika suala zima la mapenzi, haiwezekani hela zake zote, umaarufu wake wote, umri mdogo alionao akaangukie kwenye penzi la mwanamke ambae ameshazaa zaidi za mara mbili na mbaya zaidi amemzidi umri wa kutosha
For sure Diamond the moment ameachana na kabla hajaachana na fulani deep inside he was lonely alikua anahitaji tu wakumfariji na penzi la dhati bila kusahau kumkamilishia ambition yake ya mtoto.
Swala langu najiuliza tu hivi ilishindikana Diamond kumtafuta /kumpata msichana mrembo aliyetulia, ambaye angefaulu vigezo vyake? jibu ni No kutokana na mlolongo wa Girls na cerebrities alio date nao bwana Chibu, for sure the man was searching Real Love na ile ambition yake ya kuzaa lakini hakufanikiwa hadi soulmate wake ambaye kwa mazingira yetu ya kawaida tuliyokulia sio kawaida kwa mtu anayeanza maisha.
Kutoka kwenye mlolongo huo hapo juu wasichana mnaweza kujifunza kuwa TABIA, AKILI YA MAISHA, UVUMILIVU ndo msingi wa kumtuliza mwanaume wowote akakutangazia ndoa No matter umetotoa watoto kumi na ngapi na sio uzuri wala elimu wala kipato chako otherwise you will be lonely forever.
Pia wanaume search true love and get it no matter what kwani wewe ndo unaijua siri ya mtungi kwaherini maneno yangu sio sheria ila yanafikirisha kwani wahenga wanasema take it from me DEREVA MMOJA HAZEESHI GARI.
Wapi pale kabanga Mentor Katavi Mashaxizo Mtambuzi Asprin zee la town miss chagga upo? Madame B best sikuoni pale kati siku hizi Evelyn Salt chizi maarifa wangu heri ya mwaka heven on earth Kaizer bazazi..... Mr Rocky msalimie fulani na fulani Ntuzu Baba V wapi pale ,tevez mwenyewe Kyalow Mzee Passion Lady I miss you bado sijarudi Dubai Lady doctor huonekani.