BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,369
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.
Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi naye.
Na kama hilo linawezakana je, ni kosa gani kwenye ndoa lisilostahili msamaha?