Wale ambao wamekua waaminifu kwenye ndoa zao bado wakasalitiwa na wenza wao tufarijiane

jayde

Senior Member
Nov 17, 2018
146
176
Wakuu salamu.Nimeishi kwenye ndoa kwa miaka karibia ishirini.Kwa kipindi chote sikuwahi kumcheat mwenzangu.Nimetunza kiapo changu cha ndoa kwamba nitakua muaminifu kwake na kumpenda,nimejitahidi kutimiza wajibu wangu kama mwanandoa ila matokeo yake nimesalitiwa.Moyo unaniuma sana.
 
We ke au me?? Kwa miaka yote hiyo amekuwa akichepuka shukuru ulikuwa ujajua, ila pamoja na kujua mbele yake jifanye km ujaumia kabisa usimlalamikie tena km umewai kumlalamikia, fanya kupotezea mbele yake labda akitoka ndo unajililia weeee hasira zinashuka, usimuulize tena kuna jambo atajifunza na wala usijichoke endelea kujipenda, vaa vizuri, vutia, km unaenda job pendeza zaidi usiwe na habari naye juu ya usaliti wake
 
Wakuu salamu.Nimeishi kwenye ndoa kwa miaka karibia ishirini.Kwa kipindi chote sikuwahi kumcheat mwenzangu.Nimetunza kiapo changu cha ndoa kwamba nitakua muaminifu kwake na kumpenda,nimejitahidi kutimiza wajibu wangu kama mwanandoa ila matokeo yake nimesalitiwa.Moyo unaniuma sana.
Yaani hizi mada ndizo zinasababisha turefushe muda wa kuoa.
Katika kosa sitakuja kulifanya ni kuoa
Unaona Baharia hataki kabisa kuoa
 
Sweet16, km unaenda job pendeza zaidi usiwe na habari naye juu ya usaliti wake
[/QUOTE]
ni wanawake wachache sana wanaweza kukaa kimya....au kuwa na busara......wengi hutamani hata kukufuata kazini aliamshe dude....ni faraja ya Mungu pekee inatakiwa....
 
ni wanawake wachache sana wanaweza kukaa kimya....au kuwa na busara......wengi hutamani hata kukufuata kazini aliamshe dude....ni faraja ya Mungu pekee inatakiwa....
Yes amlilie sana Mungu pekee kuhusu matendo ya mwenzie ayapuuze machoni pake na ajue anayadharau na hayamuumizi kabisa, kama ni majukumu yake aendelee kuyafanya kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom