Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dear Ladies, He won’t use condoms, yo use pills. why? Because he wants it natural? (Think of ovarian cancer and infertility). He gets you pregnant, you have aborted like 5 times 😢 why? Because...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha Sifa 1)Awe mkristo wa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo; Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Inasikitisha/huzunisha sana kuona mwanaume anatumia hii kitu. Hii kitu kwangu me ni kama takataka lakin utakuta kuna wanaume wanatumia huu upuuzi na anajiita mwanaume rijali. Mwanaume...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Natafuta mchumba, awe maeneo ya mbeya umri 20-23, dini awe mkristo hayo muhimu mengine hayo ziada mwasiliano 0675575597
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani, Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass, siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
WANAWAKE 1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Najua kuna wanawake humu wanakubaliana na mimi kuwa kuna wenzao wameumbwa wakaumbika,Yani engineera aliyewaumba wao hakuchakachua cement wala tofali wala nondo, Ratio na Cement na mchanga ilikua...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
JESTER Amos Bulaya, mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), amedai mahakamani kuwa uhusiano wake na mbunge mwenzake wa Kawe, Halima James Mdee, “unafungwa na ujirani” wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya ni malengo yangu kwa 2020 Nina multiple relationships but technicaly na feel kama NIKO SINGLE Sjawai kua na tatzo la kukosa papuch..i get it weneva i want Kati ya hao wanawake wote hakuna...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilitukanwa sana last time nilipoleta uzi kuhusu huyu mwanamke kunifadhili, kwamba mimi ni marioo, kwamba napenda mteremko, kwamba mimi ni mshenzi wa shenzi na kadhalika ilimradi kila mtu aseme...
7 Reactions
88 Replies
12K Views
Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Wasalaam, naomba kufahamishwa maeneo mazuri yaliyotulia yenye fursa ya kulima (kidogo) na kufuga katika wilaya zilizo karibu na Mbeya mjini.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi hamjambo Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae...
2 Reactions
129 Replies
10K Views
Nimesoma kwa jamaa akitaja kanuni/sera za mabaharia mwaka 2020. Naona utakuwa mwaka mgumu sana kwa masister du. 1. Hakuna kuoa single mother. Huyo ataolewa na aliyempa mimba. 2. Watoto wazuri wa...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
KWA NINK UNAKOSA RAHA Mapenzi yanaweza kukufanya ukakosa furaha na kupoteza amani ya maosha. Bila kuwa na amani katika nafsi yako huwezi kufanya kazi kwa bidii, huwezi kusoma vizuri huwezi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Tahadhari kabla ya ajali, Hizi mambo za kujifanya mna mapenzi sana mpaka mnaua watoto wa watu ziishie hapa 2019. Tumechoka kuja kuwaona gerezani. Tunakumbushana tena usisomeshe mwanamke. Kama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Uzi umeishia hapo. The end, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi, nasikia kuna uchawi ambao mwanaume ukifanyiwa, hautapata demu wala mke, hata kama ww mwanaume ni handsome na una hela, utaishia kuponea kwa malaya wanaojiuza ili kujipooza kingono.. Nasikia...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…