Mwanaume kufanyiwa uchawi wa kukataliwa kimapenzi na kila mwanamke, hili swala lina ukweli?

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Hi, nasikia kuna uchawi ambao mwanaume ukifanyiwa, hautapata demu wala mke, hata kama ww mwanaume ni handsome na una hela, utaishia kuponea kwa malaya wanaojiuza ili kujipooza kingono..

Nasikia huo uchawi unakufunga, utakataliwa kingono na kila mwanamke unaemtongoza, hakuna mwanamke atakubali kukuvulia chupi hata kama ww ni handsome na una hela.. Utatongoza, utaishia kuzungushwa wee, utapigwa kalenda na kuombwa hela hadi mahusiano yavunjike...

Waliowahi ku-experience hili swala, na wenye ujuzi nalo, waje hapa kufunguka.
 
Lipo Hilo..

Tofauti kidogo na mada..nina jirani yangu aliolewa na mwanaume aliyetalikiana na mkewe.

Mkewe akaenda kumfunga yule mwanaume akikutana na jirani yangu hasimami(dudu lake) ..week tu jirani ndoa ikamshinda akaomba talaka.. mwanaume kufuatilia ex mkewe ndiye muhusika wa Yale yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata wale wadada wa Buguruni, Sinza, Keko, Tabata, Sokota, Temeke-Sudan na kule Mbagala eneo gani lile sijui wakatae mbele ya pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..................Kuepuka hili nenda taratibu kwenye mahusiano yako kama unahisi hamtakuwa na safari ndefu kimaisha mwambie mwanamke ukweli kabisa mapema ili hata yeye ajiandae psychology na ajue kwamba mnafanya for funny siyo unampotezea miaka mitatu huku kuna waliokuwa wanakuja kutaka kumuowa anawakataa akikusubiri wewe.

Hivi visa vipo sana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna baba tunahisi kafungwa na mkewe
yaani si mbaya na ana pesa hata amgharamie vipi mchepuko hapewi mambo.
kuna wadada tofauti kawagharamia lakini yale yale hadi akadai vitu vyake, kuna mwengine rafiki yangu alimpangia nyumba na kamnunulia furniture za ndani lakini yale yale mpaka walipelekana polisi arudishiwe vitu vyake,

mwengine ndugu yangu kabisa alipewa pesa kibao na simu kanunuliwa naye kaingia mitini.
Wanaume wenzie wanasema huyu kafungwa na mkewe

Hahahaaaaa doh, dunia hii ina mambo mazito sana, wakati mm babu yangu wa miaka 70 alikuwa na sura mbaya, lakini alikuwa anafanya mapenzi na vitoto vingi sana vya kike vya secondary kwa kuvihonga tsh elf 7 au elf 3 tu.. lhera
 
Mkewe naye bwege kweli anafunga Mume asisimame badala afunge awe bahili kuhonga mchepuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa doh, dunia hii ina mambo mazito sana, wakati mm babu yangu wa miaka 70 alikuwa na sura mbaya, lakini alikuwa anafanya mapenzi na vitoto vingi sana vya kike vya secondary kwa kuvihonga tsh elf 7 au elf 3 tu.. lhera
Huyo babu yako alikuwa mshirikina si bure mtaani alikuwa mzee kama huyo ila alitumia dawa.
 
Back
Top Bottom