Hakuna mwanaume aliye single ambaye kila siku akitoka nyumbani kwake anajisemea ngoja nitafute mke kama vile anavyotafuta funguo, simu au fedha aliyopoteza. Haipo hiyo.
.
Mwanaume siku zote...
Hellow wana Jf, salam kwenu. Namtafuta msichana ambae namkumbuka kwa jina moja tu Selina, ni mtu wa mbeya. Nilipotezana naye tangu mwaka 2011. Yeye ni graduate wa Computer Science Udsm mwaka 2011...
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.
Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia...
Nakuandikia haya kukupa mkono wa kwakheri Rafiki yangu, nimeishi nawe kwa muda mwingi sana.
Siku ya kwanza ulipo kuja kwenye maisha yangu nilijua nimepata Rafiki bora kabisa, lakini...
Nina safari ya siku mbili katika mji wa Bujumbura Burundi.
Wenyeji wa eneo hilo nipeni muongozo wa sehemu nzuri ya kufikia isiyozi 50k kwa kulala na sehemu nzuri za kutembelea pamoja na mambo ya...
Mwanamke siku zote huwa anaamini kwamba mwanaume ndie atakaeanza kufa,
Kama unabisha mwambie mkeo "Hii Nyumba nataka kuiza"
Utasikia "Alafu Ukifa mimi Nitaishi wapi na wanao".
Sababu zipi...
I would like to ask the following questions,
What are the factors considered by professional’s market markets at greater Banks when making exchange rate quotations for retail traders?
How...
Mimi ni mwajiriwa kampuni binafsi hapa Dar, na mke wangu yupo serikalini ngazi ya chini kabisa ya mshahara.
Nilifanya kazi yenye mshahara mkubwa miaka miwili iliyopita mikoani na nikafanikiwa...
dunian kila mtu anakilevi chake,asee mm pombe ndo kila ktu,kumaliza kreti 2 n chaap,zaman ilikuwa mm na wanawake wanawake na mm,nkaja kufumaniwa nko na mtoto wa binam yangu nkaacha.
K VANT FOR...
Habari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo...
Habari zenu waungwana, ni matumaini yangu kwamba mwaendelea vema.
Binafsi sikuwahi kuamini kama urafiki unaweza kuuliwa na vitu vidogo kama kukopeshana, japo nilikuwa nasikia tu tangu nakuwa...
Tuachane na siasa kidogo kwa muda!
Duniani, wanaume wanapoteza 'strong mentality' dhidi ya wanawake.
Wanawake wanapaa Sana 'economically' dhidi ya Wanaume
Wanawake wana fly Sana...
Dear Ladies,
He won’t use condoms, yo use pills. why? Because he wants it natural?
(Think of ovarian cancer and infertility).
He gets you pregnant, you have aborted like 5 times 😢 why? Because...
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha
Sifa
1)Awe mkristo wa...
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo;
Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
Inasikitisha/huzunisha sana kuona mwanaume anatumia hii kitu. Hii kitu kwangu me ni kama takataka lakin utakuta kuna wanaume wanatumia huu upuuzi na anajiita mwanaume rijali.
Mwanaume...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
Hivi wanawake sijui mnawazaga nini na wengine sijui mna Akili ya Aina gani,
Huyu demu nimemuopoa jumanne siku moja tu kabla ya X-Mass,
siku mbili tu za Dating tayari anaomba Simu mpya(Kumbuka...
WANAWAKE
1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako na kama...