Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Sababu ni hizi,majukumu ya kutunza familia ameachiwa mwanaume so wewe Mara nyingi unafanya dili ambazo kwa namna Fulani zinakuweka karibu na kifo,mfano mtu unafanya shughuli ya bodaboda,,dereva nagari,mchoma mkaaa,nk huku ukimuacha mwanamke nyumbani anapiga starehe,actually mambo kama hizi zinawaweka wanaume katika risk ya kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ufupi wa fikra (kufikiri) tu, but sio wote.
 
Mwanamke siku zote huwa anaamini kwamba mwanaume ndie atakaeanza kufa,
Kama unabisha mwambie mkeo "Hii Nyumba nataka kuiza"
Utasikia "Alafu Ukifa mimi Nitaishi wapi na wanao".

Sababu zipi zinazowafanya waamini kwamba wanaume ndio watakaoanza Kufa.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti zimethibitisha.Wanaume hufa mapema zaidi kuliko wanawake.
 
Mwanamke siku zote huwa anaamini kwamba mwanaume ndie atakaeanza kufa,
Kama unabisha mwambie mkeo "Hii Nyumba nataka kuiza"
Utasikia "Alafu Ukifa mimi Nitaishi wapi na wanao".

Sababu zipi zinazowafanya waamini kwamba wanaume ndio watakaoanza Kufa.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitani twaenda sisi
Kutekwa na ccm ni sisi
Majambazi ni sisi
Bodaboda ni sisi
Bajaj ni sisi
Wavuvi na Mabaharia ni sisi
Vibaka ni sisi
Madereva ni sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah ME kufa ni zao la stress nyingi zinazozaa sumu tofauti tofauti mwilini. Unakuta mke ana kisirani tu nawewe yani hatari sana.
 
Back
Top Bottom