Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

Frank255Fx

Member
Jul 25, 2019
27
9
Rejea kichwa cha Habari hapo
Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu mwanamke wa aina yoyote ! Naishi Dar , Nahitaji mwanamke mwenye mwili mwili mzuri, mrembo, Shape Nzuri Mwenye hofu ya Mungu Natanguliza Shukrani
PM IPO WAZI


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom