Namtafuta Hussein Abbas Ibrahim

Namtafuta Hussein Abbas Ibrahim

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,375
Reaction score
56,096
Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alisona Chuo kikuu/Sekondari mtafute google utapata details zake
Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaifahamu jf mkuu?
Si mara moja watu wanakuja na gia ya kumtafuta rafiki, ghafla unaona picha zinaanza kurushwa jf?
Si kila ukidhaniacho jf ndivyo kilivyo.
Huyu mtu namfahamu hadi business card yake ninayo.
Kama ni kweli msaidie mwenzako au wasiliana na mwenyeji wake kabla hujamuunganisha akikuruhusu muunganishe huo ndio utakuwa uungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma post yangu nimeandika kuwa nitamshawishi ajiunge kama hajajiunga jf ili wachekiane jf.
Hali ya nchi ilivyo usithubutu kuuza taarifa za mtu.
Nina rafiki yangu wa maana anateseka muda huu kwa ajili ya watu kuuza taarifa zake toka jf.
Ndo umwambie kuna ex wake amemkumbuka akuruhusu umpe mawasiliano usimbanie mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi hayuko mikono salama ya dola, ilikuwa kama mzaha mwasiliano yalipotea oktoba, nikajua labda ametoka nje ya nchi, lkn muda ukawa unayoyoma bila kumpata hewani, ndipo majuxi nikafanya juhudi za ziada kumtafuta, duuuh jamaa anateswa na dola balaa.
Tuendelee kujifariji kuwa tuko salama lkn...nina mengi ya kusema acha tu nifunge mdomo
Rafiki yako anatesekaje bro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom