Nimefanikiwa kuacha Pombe lakini nimehamia kwenye kubet online lakini bado mke wangu analalamika

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza imekua kero ya mda mrefu kwa baby (mke wangu) juu ya matumizi ya pombe kwangu aisee hadi ilikua kero sasa miezi miwili iliyopita mshikaji wangu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu akanifundisha kubet aiseee akanichambulia timu zangu.

Basi kidume nikatia stake 40k jioni nimerudi home sina hili wala lile nikasema ngoja nichungulie kamkeka kangu aisee nilishangaa kuona nimeshinda laki tano.

Nilimwita mke wangu nikamwonyesha yani na yeye alichekeleaaa sana basi kakawa ndio kakilevi kangu hadi leo bia nishazisahau ila chakushangaza sasa eti mke wangu analalamika tena eti nimekua busy sana na simu yangu jamani wanawake mbona hamna jema lakini?

Wakati ile laki 5 nilimpa pasu kwa pasu lakini shasahau yani
 
Ukishinda nyingine atatulia endelea kuchimbia akili.
 
Back
Top Bottom