Ulishawahi kuwa na mwenza (mpenzi/rafiki/mwanandoa) mwenye tabia yenye kukera lakini hata jinsi ya kumuambia unajiuliza mara mbilimbili utamuambiaje na ataipokeaje? Ana tabia ambayo, kwa kujua...
Nilikuwa na mahusiano na binti fulani, nikiwa kama mteja kwenye mgahawa fulani kutokana na mazoea nkabahatika kula mzigo.
Miezi 5 imepita eti ananiambia nilimuachia ujauzito, nikamhoji inakuwaje...
Wadau,
Kuna mdada nimedate naye for 6 yrs tokea form 5 mpaka tukamaliza chuo pamoja baada ya mwaka mmoja nilipata ajira nzuri tu nikajikuta nampenda mdada mwingine wa ofisini tuna miezi 6 sasa...
Huyu mwanaume mwenzangu tumeoa sehemu moja.
Yeye akifika kwa mama mkwe anatoa laki moja na kuendelea, halafu mimi ni kumi, ishirini ikizidi hamsini.
Sasa nimeamua kushindana naye ili kuweka heshima.
Yule aliyeinuka mmoja tu kwenye familia. Anategemewa na familia nzima na kuna wakati anasahau kuwa ana familia yake. Anawaza amalize nyumba ya wazee, ada ya wadogo zake, chakula chao cha kila...
Habari wana JF,
Napenda kuchukua fursa hii kuleta yanayonisibu ili nijue muafaka wa hili. Siyo kwamba mimi ni mgeni JF, hapana. Nimelazimika kuja na ID mpya kwa sababu ya zamani kuna marafiki...
Habari za asubuhi waungwana,
Poleni sana na uchovu wa weekend ndefu na sikukuu za Pasaka, hasa kwa wale wapenda bata kama mimi. Vitabu vitakatifu vinakwambia msema kweli mpenzi wa Mungu, sio...
Habari wana JF,
Napenda sana kukaa na family yangu haswa siku ya Jumapili. Baada ya shughuli za nyumba kuwa zimeenda sawa huwa natenga kamuda kwa ajili ya kukaa na watoto wangu na mama yako...
Habari za jion Wana JF ....
Mm ni kijana umri 30+
-Urefu 5.4 nch
-Colour -mweupe kiasi
-islamic
-Nna watoto wa3 kila mmoja na mama yake,
-Ila nnaishi watoto wangu.
-Kaz yangu ni Mishen town tu...
Hongereni na Majukumu wananzengo
Ni kisa ambacho nimekikumbuka baada ya mwanamke huyo kunijualia hali jioni hii kwa sms nikaona si vibaya nikiwamegea kidogo story hii.
Kipindi cha nyuma...
Uzuri wa mtu unatambulishwa na nini?
Wapo watu wanaojisifia mke au mume au mpenzi wake ni mzuri. Lakini mtu mwingine akimwangalia huyo anayesifiwa unakuta ni boya tu. Je,katika kusifia huko huwa...
CHEATING COUPLES
Cheating sometimes start with that chat. That guy that tells you you are beautiful and your heart is racing like maaaaad! That lady that tells you you are awesome and your...
Habarini wakuu.Niende kwenye mada maana nahisi sipo sawa muda huu kutokana na kilichotokea leo asubuhi.
Kuna binti nilizaa naye miaka michache iliyopita sasa tulikuwa na malengo mazuri ya kufunga...
LE MUTUZ MOBIMBA: ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI U KNOW: ..Mara paaap mamen kazimia U know ...
.Mamen mjue mchumba wako kabla ya kurukia ndoa ...cause ona sasa Jamaa siku ya kufunga Ndoa Kanisani ndio...
Tangu ulipokuwa mdogo unapambana na shule kama kuamka asubuhi na mapema bila idhini yako pamoja na usumbufu mwingine wa namna hiyo.
Je, leo unaishi yale maisha yasiyokuwa na usumbufu au kero?
Nianze kukiri ukweli kwamba kati ya viumbe ambao wako trickier hasa kwenye suala la ngono na tendo la ndoa kwa ujumla ni wanawake. Leo sitaki kuandika maneno marefu sana. Niende moja kwa moja...
Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua...
Tarehe 25 Oktoba tulipokea taarifa toka Geita ambapo jirani alituarifu juu ya usafirishaji haramu wa watoto unaofanywa na mama jirani yake. Kwamba mama huyo tayari mabinti zake Esta mwenye umri wa...
Kuna jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi moja amepatwa na tukio ambalo mpaka Sasa limemuacha kwenye wakati mgumu kiasi cha kumfanya ajihisi kuchanganyikiwa.
Ni hivi ana mahusiano na mdada flani hivi...