nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 287
- 227
Wadau,
Kuna mdada nimedate naye for 6 yrs tokea form 5 mpaka tukamaliza chuo pamoja baada ya mwaka mmoja nilipata ajira nzuri tu nikajikuta nampenda mdada mwingine wa ofisini tuna miezi 6 sasa na date na wote wawili.
Nimekuja kutambua nampenda huyu niliyedate naye kwa mda wa miezi 6 zaidi nataka kuoa kwani nimefikia umri sahihi wa kuoa miaka 27 hivi tatizo yule kidumu wangu wa miaka sita nikimpiga chini anaweza kujiua na huyu wa ofisini the same wote ni wadhaifu wa kudeal na stress.
Wadau najua nimefanya kosa ila naombeni ushauri nachomokaje? Sitaki kumuumiza hata mmoja na nawapenda sana.