Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,212
- 64,302
Uzuri wa mtu unatambulishwa na nini?
Wapo watu wanaojisifia mke au mume au mpenzi wake ni mzuri. Lakini mtu mwingine akimwangalia huyo anayesifiwa unakuta ni boya tu. Je,katika kusifia huko huwa mnaangalia nini?