Ushauri wenu unahitajika katika hili

pyopy

Senior Member
Feb 16, 2018
185
390
Nilikuwa na mahusiano na binti fulani, nikiwa kama mteja kwenye mgahawa fulani kutokana na mazoea nkabahatika kula mzigo.

Miezi 5 imepita eti ananiambia nilimuachia ujauzito, nikamhoji inakuwaje muda wote huo usiniambie hadi tumbo limeshafutuka hivyo?

Majibu yake sasa...

"Nilikuona uko bize sana halafu hukuwa na time na mimi so nikaamua nikuchunie ila leo nimeamua kukuambia ukweli"

Nilitokwa na jasho jingi sana kwa hasira na nikawa nafkria nimpige au nifanyeje, yaani wahuni wamemjaza huko wamemkataa anakuja kwangu.

Cha ajabu anatuma SMS nyingi sana + calls muda wote kunihakikishia ni mimba yangu.

Wadau nakosa raha kabisa yani hata nikimblock ananitafuta kwa namba tofauti.

Nisaidieni nifanyeje mimi maana hadi nakosa raha naishia kupiga mvinyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi wanawake unawajua? Mwanamke anaweza akakaa na wewe miaka 20 ukimkorofisha tu anakuambia huyu mtoto Jesca siyo wako ameona hakuna sehemu nyingine ya kuponea shida zake hata kama bodaboda wamemdunga anaona wewe una smartphone, mjasiriamali, labda una kadi za benki.
 
Sifahamu hata ni wapi huko dawati la jinsia

Cha msingi ajitoe hata kinguvu....wanaume wanatia huruma sana siku hizi kulea watoto wasio wao
Kashindwa kuunda hoja yakujitoa katika kesi iyo wakat ni nyepesi kabisa.
Akitumia nguvu wakat anaonyesha kakubali dawati la jinsia linamwita baada ya miez 4
Ni ka kitengo kanapatikana vituo vya polisi kamejikita kushughulikia mostly wababa wasumbuf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na mahusiano na binti fulani, nikiwa kama mteja kwenye mgahawa fulani kutokana na mazoea nkabahatika kula mzigo.

Miezi 5 imepita eti ananiambia nilimuachia ujauzito, nikamhoji inakuwaje muda wote huo usiniambie hadi tumbo limeshafutuka hivyo?

Majibu yake sasa...

"Nilikuona uko bize sana halafu hukuwa na time na mimi so nikaamua nikuchunie ila leo nimeamua kukuambia ukweli"

Nilitokwa na jasho jingi sana kwa hasira na nikawa nafkria nimpige au nifanyeje, yaani wahuni wamemjaza huko wamemkataa anakuja kwangu.

Cha ajabu anatuma SMS nyingi sana + calls muda wote kunihakikishia ni mimba yangu.

Wadau nakosa raha kabisa yani hata nikimblock ananitafuta kwa namba tofauti.

Nisaidieni nifanyeje mimi maana hadi nakosa raha naishia kupiga mvinyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Unataka kutulisha TANGO PORI. inaonyesha ni story unaotaka kutuburudisha. Hamna ukweli hapa.
 
mimba inaingia kwa siku hiyo moja tu uliyofanya

kama unakumbuka ilikua lini labda uanzie hapo
nenda nae mkapime uone muda wa mimba na toka mkutane ukipata jibu uje nalo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom