Nataka nishindane na mume mwenzangu ukweni

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,567
Reaction score
3,838
Huyu mwanaume mwenzangu tumeoa sehemu moja.

Yeye akifika kwa mama mkwe anatoa laki moja na kuendelea, halafu mimi ni kumi, ishirini ikizidi hamsini.

Sasa nimeamua kushindana naye ili kuweka heshima.
 
Ushindane uliambiwa kuna mashindano ya kugawa pesa kwa mama wakwe? Fanya kwa uwezo wako muhimu andaa future ya familia yako kwani siku ukitetereka siyo mama mkwe sometimes hata huyo mwanae unaeishi naye atakaekuthamini.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kwani unamtaka mkwe wako?
Huyu mwanaume mwenzangu tumeoa sehemu moja.

Yeye akifika kwa mama mkwe anatoa laki moja na kuendelea, halafu mimi ni kumi, ishirini ikizidi hamsini.

Sasa nimeamua kushindana naye ili kuweka heshima.

Jr[emoji769]
 
Kusema kwakua yeye anapeleka laki kwao basi wewe ungeshindana nae kwa kupeleka buku kumi kumi kwa mama yako
 
Huyu mwanaume mwenzangu tumeoa sehemu moja.

Yeye akifika kwa mama mkwe anatoa laki moja na kuendelea, halafu mimi ni kumi, ishirini ikizidi hamsini.

Sasa nimeamua kushindana naye ili kuweka heshima.
Nina uhakika utashindwa kwa KO kweny iyo vita yako lakn kila la heli uje utupe mrejesho pia
 
ukiwekeza ukweni matokeo yake ni majuto siku ndoa ikichacha, pia hakuna utakachovuna zaidi ya sifa
 
Back
Top Bottom