Lini mara ya mwisho kumsifia mpenzi wako? Alifanya nini?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Habar wadau?

Naomba niulize humu Swali dogo halafu Majibu tutayapata na hakika yanaweza kutusaidia katika suala zima la kusifia Wapenzi wetu.
Maana kumsifia mpenzi kunaimarisha mahaba motomoto sana maisha yote.

JE NI LINI ULIMSIFIA MPENZI WAKO? KWA KUKUFANYIA NINI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu naifanyaga sana ilimradi siku hiyo nafsi yangu ina raha nampamba kwa kila namna hadi anajiona yupo juu ya dunia + ahadi za kibabe hahahah....
 
Akikujibu Mr iron man embu nitag au kakimbia jibu
Hili swali ni la kitoto sana, ila acha nikuelezee kiundani zaidi,

Mleta mada ameongelea kusifia ila yeye kusifia amelifanya jambo zito sana, ila mimi nikaandika kusifia kwani sh ngapi?, (Kama hujui ni maana ya sh ngapi?, Utakuwa sio mtanzania,labda Kwako Lina maana tofauti, acha nikuelezee kiufupi)
Yaani kuna gharama zozote zile unazotoa ili usifie? Nikauliza, sababu mimi kusifia ni jambo dogo sana lisilo na gharama zozote, ndio maana nikasema kwani sh ngapi?

Antony Edward stark, ni kirefu cha Tony-Stark, ni jina la mwanaume ambaye ni shababi haswa mpaka kujitolea uhai wake kusave watu na viumbe wote,
kwahiyo sidhani kama mwanamke anaweza kutumia I'd/jina la kiume,
Kwanini afanye hivyo?,

Kama nilivyokueleza Tony-stark ni jina la kiume kwanini atumie mwanamke?, (Kama ndio nipe sababu za kueleweka)
Avatar yangu inaonyesha mimi ni nani?, na Utatumia uwezo mdogo sana wa ubongo kutambua hilo,

Wewe ulikua na maana gani? Kuniuliza swali la kitoto zaidi, ambalo sijawahi kuulizwa kwenye historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi,
Ulikua na maana gani kuuliza "huyo mpenzi wangu wa kike au wa kiume?". Ili mradi unajua Tony Stark ni jina la kiume?(nipe sababu za kueleweka)

-Tony stark wanatumia hadi wanawake?(Kama ndio, wapi?)
-Kwanini umeniuliza hivyo?
-Umefikiria nini? Mpaka ukaniuliza hivyo?
-Nipe sababu za kueleweka mpaka umeniuliza hivyo?,
-Nini maana ya (kwani sh ngapi?)
-Wewe umeelewaje nilivyosema (kwani sh ngapi?)
-Nipe maana ya (kwani sh ngapi?) Unayoijua wewe?
-Kwani sh ngapi? Unatumiaga vipi/inatumika vipi?

Nadhani nimeshakujibu, ila naomba ujibu hayo niliyokuuliza, kama umekwazika "samahani",
Kama kuna sehemu hujaelewa unaweza kuuliza.

Shikamoo kaka Tony
 
sasa usipomsifia mpenz ama mkeo/ mumeo utamsifu nani baada ya kumsifu bwana? Aise mm natoaga sifa hasa ktk mapishi kuna watu wanapika msosi mpaka ukimaliza kula tayar na ududu ushasimama...hapo lazma nirudishe shukran kwa misosi yote miwili..kumsifia mpenz ni moja ya upendo wa kweli hasa sifa hizi zikiwa ni za dhati kabisa ktk jambo lolote lile, mtu chake usipomsifia wewe watakusaidia walimwengu kumsifia
 
Hili swali ni la kitoto sana, ila acha nikuelezee kiundani zaidi,

Mleta mada ameongelea kusifia ila yeye kusifia amelifanya jambo zito sana, ila mimi nikaandika kusifia kwani sh ngapi?, (Kama hujui ni maana ya sh ngapi?, Utakuwa sio mtanzania,labda Kwako Lina maana tofauti, acha nikuelezee kiufupi)
Yaani kuna gharama zozote zile unazotoa ili usifie? Nikauliza, sababu mimi kusifia ni jambo dogo sana lisilo na gharama zozote, ndio maana nikasema kwani sh ngapi?

Antony Edward stark, ni kirefu cha Tony-Stark, ni jina la mwanaume ambaye ni shababi haswa mpaka kujitolea uhai wake kusave watu na viumbe wote,
kwahiyo sidhani kama mwanamke anaweza kutumia I'd/jina la kiume,
Kwanini afanye hivyo?,

Kama nilivyokueleza Tony-stark ni jina la kiume kwanini atumie mwanamke?, (Kama ndio nipe sababu za kueleweka)
Avatar yangu inaonyesha mimi ni nani?, na Utatumia uwezo mdogo sana wa ubongo kutambua hilo,

Wewe ulikua na maana gani? Kuniuliza swali la kitoto zaidi, ambalo sijawahi kuulizwa kwenye historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi,
Ulikua na maana gani kuuliza "huyo mpenzi wangu wa kike au wa kiume?". Ili mradi unajua Tony Stark ni jina la kiume?(nipe sababu za kueleweka)

-Tony stark wanatumia hadi wanawake?(Kama ndio, wapi?)
-Kwanini umeniuliza hivyo?
-Umefikiria nini? Mpaka ukaniuliza hivyo?
-Nipe sababu za kueleweka mpaka umeniuliza hivyo?,
-Nini maana ya (kwani sh ngapi?)
-Wewe umeelewaje nilivyosema (kwani sh ngapi?)
-Nipe maana ya (kwani sh ngapi?) Unayoijua wewe?
-Kwani sh ngapi? Unatumiaga vipi/inatumika vipi?

Nadhani nimeshakujibu, ila naomba ujibu hayo niliyokuuliza, kama umekwazika "samahani",
Kama kuna sehemu hujaelewa unaweza kuuliza.
Your love to To Tony-stark is mischievous.
Ngoja nami nimpambe Stephen Strange
 
I
Hili swali ni la kitoto sana, ila acha nikuelezee kiundani zaidi,

Mleta mada ameongelea kusifia ila yeye kusifia amelifanya jambo zito sana, ila mimi nikaandika kusifia kwani sh ngapi?, (Kama hujui ni maana ya sh ngapi?, Utakuwa sio mtanzania,labda Kwako Lina maana tofauti, acha nikuelezee kiufupi)
Yaani kuna gharama zozote zile unazotoa ili usifie? Nikauliza, sababu mimi kusifia ni jambo dogo sana lisilo na gharama zozote, ndio maana nikasema kwani sh ngapi?

Antony Edward stark, ni kirefu cha Tony-Stark, ni jina la mwanaume ambaye ni shababi haswa mpaka kujitolea uhai wake kusave watu na viumbe wote,
kwahiyo sidhani kama mwanamke anaweza kutumia I'd/jina la kiume,
Kwanini afanye hivyo?,

Kama nilivyokueleza Tony-stark ni jina la kiume kwanini atumie mwanamke?, (Kama ndio nipe sababu za kueleweka)
Avatar yangu inaonyesha mimi ni nani?, na Utatumia uwezo mdogo sana wa ubongo wako kutambua hilo,

Wewe ulikua na maana gani? Kuniuliza swali la kitoto zaidi, ambalo sijawahi kuulizwa kwenye historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi, toka historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi ilipozaliwa,
Ulikua na maana gani kuuliza "huyo mpenzi wangu wa kike au wa kiume?". Ili mradi unajua Tony Stark ni jina la kiume?(nipe sababu za kueleweka)

-Tony stark wanatumia hadi wanawake?(Kama ndio, wapi?)
-Kwanini umeniuliza hivyo?
-Umefikiria nini? Mpaka ukaniuliza hivyo?
-Nipe sababu za kueleweka mpaka umeniuliza hivyo?,
-Nini maana ya (kwani sh ngapi?)
-Wewe umeelewaje nilivyosema (kwani sh ngapi?)
-Nipe maana ya (kwani sh ngapi?) Unayoijua wewe?
-Kwani sh ngapi? Unatumiaga vipi/inatumika vipi?

Nadhani nimeshakujibu, ila naomba ujibu hayo niliyokuuliza, kama umekwazika "samahani",
Kama kuna sehemu hujaelewa unaweza kuuliza.
I like
and I act like Peter Parker.
 
Hapa umesound kiume, ya kwanza ilikuwa kike ndiyo maana limekutoka liparagraph likuuubwa kujieleza! Kwenye jamii kuna kauli za kike na kiume,ukute mwanamme anajiita rijali kila wakati anasema “ “mie” “mwaya” “khaaaa” na nyingine nyingi nimesahau
Hili swali ni la kitoto sana, ila acha nikuelezee kiundani zaidi,

Mleta mada ameongelea kusifia ila yeye kusifia amelifanya jambo zito sana, ila mimi nikaandika kusifia kwani sh ngapi?, (Kama hujui ni maana ya sh ngapi?, Utakuwa sio mtanzania,labda Kwako Lina maana tofauti, acha nikuelezee kiufupi)
Yaani kuna gharama zozote zile unazotoa ili usifie? Nikauliza, sababu mimi kusifia ni jambo dogo sana lisilo na gharama zozote, ndio maana nikasema kwani sh ngapi?

Antony Edward stark, ni kirefu cha Tony-Stark, ni jina la mwanaume ambaye ni shababi haswa mpaka kujitolea uhai wake kusave watu na viumbe wote,
kwahiyo sidhani kama mwanamke anaweza kutumia I'd/jina la kiume,
Kwanini afanye hivyo?,

Kama nilivyokueleza Tony-stark ni jina la kiume kwanini atumie mwanamke?, (Kama ndio nipe sababu za kueleweka)
Avatar yangu inaonyesha mimi ni nani?, na Utatumia uwezo mdogo sana wa ubongo wako kutambua hilo,

Wewe ulikua na maana gani? Kuniuliza swali la kitoto zaidi, ambalo sijawahi kuulizwa kwenye historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi, toka historia yangu ya maswali ya kitoto zaidi ilipozaliwa,
Ulikua na maana gani kuuliza "huyo mpenzi wangu wa kike au wa kiume?". Ili mradi unajua Tony Stark ni jina la kiume?(nipe sababu za kueleweka)

-Tony stark wanatumia hadi wanawake?(Kama ndio, wapi?)
-Kwanini umeniuliza hivyo?
-Umefikiria nini? Mpaka ukaniuliza hivyo?
-Nipe sababu za kueleweka mpaka umeniuliza hivyo?,
-Nini maana ya (kwani sh ngapi?)
-Wewe umeelewaje nilivyosema (kwani sh ngapi?)
-Nipe maana ya (kwani sh ngapi?) Unayoijua wewe?
-Kwani sh ngapi? Unatumiaga vipi/inatumika vipi?

Nadhani nimeshakujibu, ila naomba ujibu hayo niliyokuuliza, kama umekwazika "samahani",
Kama kuna sehemu hujaelewa unaweza kuuliza.
 
Acha uchoyo wa sifa
Ila asilimia kubwa ya wanaume mbele za watu hujifanyaga na donts nyiiingi mkute sasa kakamatiwa 😀anafanya yale yale anayojinadi nayo hawezi mfanyia ke kwa kasi ya 5G
Write your reply...ni bora nimwage gunia lote la Michele kisha nianze kuokota
 
Acha uchoyo wa sifa
Ila asilimia kubwa ya wanaume mbele za watu hujifanyaga na donts nyiiingi mkute sasa kakamatiwa 😀anafanya yale yale anayojinadi nayo hawezi mfanyia ke kwa kasi ya 5G

ni hao maboya wachache mi nikogo humble kabla sijakufunia nikashafunua nakua mkakix ..don't care Fulani Hivi amazing
 
Back
Top Bottom