Usijiite mwanaume kama ushawahi kumuomba mwanamke wako pesa au Mafuta ya gari

nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Hapo ndipo wanawake wengi wanapokosea, maisha ni kusaidiana, wala siyo kusaidia upande mmoja tu wa mwanamke.

KWA mwari kwaliwa na KWA kungwi nako kwaliwa!
 
nashangaa mno navyomwona kaka angu anavyofurahia na kujitamba analelewa.Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Mawazo ya kijima (primitive) sana haya. Kama mnapendana mtasaidiana kila mtu kwa nafasi yake. Wewe unadhani kuwa mwanamume ndio kuwa na utawala wa pesa au kipato? Wasiwasi wangu, mleta mada hii ndio kwanza anabalehe. Hivyo anadhani kuwa mwanamume basi yeye ni kila kitu. Kua uyaone.
 
Jana tu nimepiga mzinga wa 100000,nimebeti,man city kapita nayo,nimejisikia vibaya sana,nilijifanya nna shida kwelikweli ...kumbeee...,imenibidi niende kuwithdraw bank kisha nikamrudishia laki yake,hajui kilichotokea,kwahiyo mleta mada aache kuporosha,inabidi uwe na mwanamke angalau ana 2+ milion kama akiba,mambo yakienda kombo ada ya watoto ana solve.
Watu mpaka kodi zinatolewaa...!! Kama wewe una demu hana kazi yoyote katika umri wa kiaka 25+ ni ufalaa wakooo... Kuwa na demu ambae siku ukitingwa hawezi kukusaidia hata 10k ni ufalaa..
 
Back
Top Bottom