Ndugu ni mkasa mfupi mnaweza kushauri,
Iko hivi nimeoa ila nafanya kazi ofisi moja na mdada mmoja mzuri sana. Mke wangu pia Ni mzuri thus way nimeamua kumuoa. Lakini tatizo mke wangu haniamini...
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake.
Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a...
Huyu mtoto wa Geti kali yupo hapa Jijini dodoma kwa wazee wake waliohamishiwa hapa kikazi, mara tu baada ya yeye kumaliza elimu yake ya Juu (Chuo kikuu UDSM),
Tatizo ni kwamba wazee wake...
Ni binti wa makamo tu tuliyejuana kwenye daladala.
Wakati huo mi natoka kisasa "Jijini Dodoma" mishe zangu kuelekea katikati ya Jiji, na yeye baada ya kumuuliza aliniambia ndio anatoka Dar...
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi
Tulikubaliana siku za kukutana kimapenzi.
Basi siku moja binti huyo alinifata akaniambia mpenzi wangu ninanyenge sana kivyovyote vile Leo naomba...
Mambo ambayo mwanaume anafanya kukutest kama wewe msichana unafaa kuwa mke wake:
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.
2...
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2019 tulipokea simu toka kwa Ndugu Sudi wa Tandahimba ambaye alitoa taarifa kuwa mzazi mwemzie (mama wa watoto wake) amewatelekeza watoto wao watatu Adam mwenye umri wa...
Anakuchangamkia wewe mpenzi au mume wake kupita maelezo.
Hakuombi pesa yoyote ile.
Kila mara anapenda kukupigia simu na kukupa maneno matamu na ya kimahaba zaidi.
Hapendi uwajue ndugu zake wote au...
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa wazazi, elimu bora na zingine kadha wa kadha. Leo...
Katika karne hii ya 21 imekuwa ni kawaida sana kwa watu hasa vijana kutafuta wapenzi ama wenzi wa maisha mitandaoni. Lakini swali linakuja; Je ni sahihi kutafuta mpenzi mtandaoni au la?
Jibu la...
DA,NDOA ZA MWENDOKASI
Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili...
Kuna usemi wa Kiafrika usemao kuwa: Inachukua kijiji kizima kumlea mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka. Familia na jamii...
Last week nilipost tittle iliyo kuwa ina sema. Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane
Hii ilitokana na kumfuma na sms za kimapenzi na wanaume wa 2 tofauti.
Ukweli nilishindwa pata muafaka...
Nilimuendeleza mke wangu Baada Ya family yake kushindwa kumsomesha kabla sijamuoa. Baada ya ndoa nikaona sio vizuri awe mama wa nyumbani hatakama uwezo wa kumhudumia ninao.
Baada ya kumsomesha...
you were talented!,naangalia video zako japokuwa zinanibariki ila zinanikumbusha pia haupo nasi...pengo lako halitazibika kamwe.....pumzika kwa amani......
Mi nataka kufahamu sababu zinazowafanya baadhi ya watu kutofaposti hadharani wapenzi wao najua kila mtu ana mtazamo wake mi napenda kujua wenzangu kwanini hamuwaposti wapenzi wenu mtandaoni!
Sent...
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa wazazi/walezi kuna kipindi katika maisha yao hulazimika kutafuta wasaidizi wa kuwalelea watoto wao. Wazazi/walezi wengi katika juhudi za kuyafikia...
Unatakiwa uwe mwanaume kuelewa hili.kama bado ni mvulana huwezi elewa.
Wanaume wengi wamekuwa wakihangaika sana na mambo mawili.
1. Kuongeza size ya Uume
2. Kuongeza stamina.
Wakidhani hayo ndo...
Leo katika kukatiza mitaa kurudi home nikiwa natoka job! mara paaah jamaa mmoja mbele kaniita jina langu halafu nilikuwa sina lile wala lile, kuangalia vizur daah sikuamini kabisa nilihisi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.