Wanaume acheni uongo juu ya wanawake

Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
358
459
Katika jambo linalonihuzunisha na kuniumiza kwa sasa ni kuona wanawake wakilaumiwa na kutukanwa na hata kudhalilishwa katika maeneo mbalimbali .. Mfano wapo wanawake ambao wamepata watoto kabla ya kuolewa au wameolewa kisha wakaachika au wamefiwa na wame zao na kubaki na watoto katika mada mbalimbali utaona jinsi wanaume wakishauriana juu ya hatari ya wanawake hawa (single mother) nakuonyesha kuwa hawafai kuolewa kwani ni wasaliti na hawaaminiki....

Jambo hili limekuwa kubwa na kuwafanya watu waamini uongo huu.. Kunamsemo unasema : useme uongo alafu uurudie mara nyingii baadae huonekana ni ukweli. Sasa wanaume wengi sasa hawapo tayari kuishi na hawa wanawake eti kisa uongo uliozagaa.
Ewe mwanamume kabla hujasambaza uongo huo juu ya hao wanawake jiulize:

1. Ni kweli wanawake wote wanye watoto ni wasalitii?
2. Je ni mwanamume au mwanamke aliyesababisha awe single mother?
3. Unajua sababu za kutengana na huyo aliyemzalisha ?
4. Je wewe unahisi huwez kupata mtoto wa nje ya ndoa? Kama unaweza yule uliemzalisha ataolewa na nani?
5. Hivi huelewi kuwa wapo wanawake waliozaa bila mume ila ilitokea tuu bila kutarajia.? Yaan namaanisha walikuwa na mahusiano na hawakupanga wapate ujauzito ila ikatokea ?
Mimi na mifano mingi ya wanawake waliozaa ila wakaolewa na wametulia. Hata hao ambao hawajazaa kutwa kucha wanaharibiwa na wanaume kisha haohao wanaume wanakuja kuwalaumu wakipata watoto.
Jaman tuache maneno ya kejeli na dhihaka kwa hawa wanawake kwani wanakuwa katika wakati mguum mnoo ..
Huu ni usia wangu mwenuu..
Ni Mimi Arkam bin Arkam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In love and war hakuna haki.
ukielewa hilo hutaumia
 
Kuanzisha uzi kama huu juu ya singo maza ni kama unataka watu waanze kuwasimanga tena... ungepotezea ili nao wapumzike..!! Kuna mmoja huwa anapenda kuwaita 'kiwanja chenye mgogoro'...!!
Ingekuwa kukaa kimya ndio kutokuwazungumzia bac huenda mpaka sasa wasingezungumziwaa .. Ila miaka imepita na bado wanasimangwaaa sasa tufanyejee.? Ni bora tuzungumze sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww ni ME u KE ??
Katika jambo linalonihuzunisha na kuniumiza kwa sasa ni kuona wanawake wakilaumiwa na kutukanwa na hata kudhalilishwa katika maeneo mbalimbali .. Mfano wapo wanawake ambao wamepata watoto kabla ya kuolewa au wameolewa kisha wakaachika au wamefiwa na wame zao na kubaki na watoto katika mada mbalimbali utaona jinsi wanaume wakishauriana juu ya hatari ya wanawake hawa (single mother) nakuonyesha kuwa hawafai kuolewa kwani ni wasaliti na hawaaminiki....

Jambo hili limekuwa kubwa na kuwafanya watu waamini uongo huu.. Kunamsemo unasema : useme uongo alafu uurudie mara nyingii baadae huonekana ni ukweli. Sasa wanaume wengi sasa hawapo tayari kuishi na hawa wanawake eti kisa uongo uliozagaa.
Ewe mwanamume kabla hujasambaza uongo huo juu ya hao wanawake jiulize:

1. Ni kweli wanawake wote wanye watoto ni wasalitii?
2. Je ni mwanamume au mwanamke aliyesababisha awe single mother?
3. Unajua sababu za kutengana na huyo aliyemzalisha ?
4. Je wewe unahisi huwez kupata mtoto wa nje ya ndoa? Kama unaweza yule uliemzalisha ataolewa na nani?
5. Hivi huelewi kuwa wapo wanawake waliozaa bila mume ila ilitokea tuu bila kutarajia.? Yaan namaanisha walikuwa na mahusiano na hawakupanga wapate ujauzito ila ikatokea ?
Mimi na mifano mingi ya wanawake waliozaa ila wakaolewa na wametulia. Hata hao ambao hawajazaa kutwa kucha wanaharibiwa na wanaume kisha haohao wanaume wanakuja kuwalaumu wakipata watoto.
Jaman tuache maneno ya kejeli na dhihaka kwa hawa wanawake kwani wanakuwa katika wakati mguum mnoo ..
Huu ni usia wangu mwenuu..
Ni Mimi Arkam bin Arkam

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika jambo linalonihuzunisha na kuniumiza kwa sasa ni kuona wanawake wakilaumiwa na kutukanwa na hata kudhalilishwa katika maeneo mbalimbali .. Mfano wapo wanawake ambao wamepata watoto kabla ya kuolewa au wameolewa kisha wakaachika au wamefiwa na wame zao na kubaki na watoto katika mada mbalimbali utaona jinsi wanaume wakishauriana juu ya hatari ya wanawake hawa (single mother) nakuonyesha kuwa hawafai kuolewa kwani ni wasaliti na hawaaminiki....

Jambo hili limekuwa kubwa na kuwafanya watu waamini uongo huu.. Kunamsemo unasema : useme uongo alafu uurudie mara nyingii baadae huonekana ni ukweli. Sasa wanaume wengi sasa hawapo tayari kuishi na hawa wanawake eti kisa uongo uliozagaa.
Ewe mwanamume kabla hujasambaza uongo huo juu ya hao wanawake jiulize:

1. Ni kweli wanawake wote wanye watoto ni wasalitii?
2. Je ni mwanamume au mwanamke aliyesababisha awe single mother?
3. Unajua sababu za kutengana na huyo aliyemzalisha ?
4. Je wewe unahisi huwez kupata mtoto wa nje ya ndoa? Kama unaweza yule uliemzalisha ataolewa na nani?
5. Hivi huelewi kuwa wapo wanawake waliozaa bila mume ila ilitokea tuu bila kutarajia.? Yaan namaanisha walikuwa na mahusiano na hawakupanga wapate ujauzito ila ikatokea ?
Mimi na mifano mingi ya wanawake waliozaa ila wakaolewa na wametulia. Hata hao ambao hawajazaa kutwa kucha wanaharibiwa na wanaume kisha haohao wanaume wanakuja kuwalaumu wakipata watoto.
Jaman tuache maneno ya kejeli na dhihaka kwa hawa wanawake kwani wanakuwa katika wakati mguum mnoo ..
Huu ni usia wangu mwenuu..
Ni Mimi Arkam bin Arkam

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio unataka tuwaonee huruma sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanathamani kubwa sana hao single mother. Na si kwmb wote hawana tabia njema au lah wamefny makusud kuwa ivyo. Je wale waliowazalisha wakakimbia nao tuwaiteje?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom